Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Sijui mambo ya mahesabu ya chadema huko yamekaaje[emoji16]
Sasa wajumbe walikuwa 30 kwa mujibu wa Nyallandu mwenyewe ,yeye akapata kura zote maana take zote 30 sasa hizo za Lissu 24 zinatoka wapi? Au mim sijaelewa?