Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi...
Kwa Mujibu wa Nyalandu mwenyewe ni kwamba wajumbe wa Kamati kuu walikuwa 30 , Lissu alipata kura 24 , Nyalandu hakusema amepata ngapi na wala kura zilizoharibika hazifahamiki .[emoji23][emoji23][emoji23]ANAUMWA
 
Nani avujishe ishu ya bahasha?. Wanahabari watakosea mengi lakini sio kuvujisha ishu nyeti kama hizo....hivyo hilo la "mmoja kavujisha" ni urongo.
 
Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali nimelazimika kujitokeza ili kunyoosha baadhi ya mambo ili kuondoa upotoshaji wake....
 
Nani avujishe ishu ya bahasha?. Wanahabari watakosea mengi lakini sio kuvujisha ishu nyeti kama hizo....hivyo hilo la "mmoja kavujisha" ni urongo.
Chadema ni Taasisi , kosa alilofanya Nyalandu ni kutangaza kwamba atahojiwa masaa 48 kabla , nzi wakafika kuchunguza kitakachojili , hili kwako ni huwezi kuelewa
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu...
simply tafakuri> leo ktk mahojiano na clouds fm alisema "wakati nakwendwa kamati kuu ya @chademaTz wajumbe walikuwa 30, nilipata kura zote na Tundu Lissu alipata kura 24, nilimgalagaza kwelikweli. Watu wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa, watu waliotoka CCM hatuwezi kuwaamini."

swali chonganishi kama TL alipata kura 24 ktk wajumbe 30 it means zilizo baki ni 6 na ktk mchuano walikuwa 2 tu.kwa maana hiyo hizo 6 zilizobaki zilienda kwa nyalandu. Je alimgalagaza au aligalagazwa?
 
Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi , kwa sababu kwenye siasa za Upinzani ni mwepesi sana kwangu , mimi si Size yake hata chembe , bali nimelazimika kujitokeza ili kunyoosha baadhi ya mambo ili kuondoa upotoshaji wake...
Uongo ni ilani ya CCM , Tukipambana na uongo tumepambana na CCM
 
Auntie Ezekiel anataka mtoto wa 3.... Lazima viumane
 
Weka mkeka wa kura hapa tuone mnafiki mkubwa wee !!
Huyu mzee wa MIGA hadi kamati kuu ya chadema hawamtaki, sasa anaaminika na nani sasa?

Hata wanaomlea huko Ulaya wamempuuza.

Jinga kabisa.
 
Inawezekana Nyalandu alimgaragaza Lissu kwenye hoja ila ilipofika wakati wa kupiga kura Lissu akapata 24 kati ya 30.

Hivyo analalamika wajumbe wa kamati kuu walimnyima kura kwa kujuana japo alimgaragaza mwanasheria msomi kwenye hoja.

Pole Nyalandu. Demokrasia ni kura.
 
Nyalandu ametengeneza mazingira flani hivi ya kutokuaminika kisiasa katika chama chochote cha siasa nchi hii.

Napata tabu sana kuwaelewa hawa viongozi, wanashindwaje kujua kwamba vyama ni vikubwa kuliko watu?

Yaani ukimchukua nyalandu umlinganishe na chadema ni kama mbingu na ardhi, ama umlinganishe na CCM wewe utakuwa serious kweli?

Nachojaribu kuzungumzia hapa ni kwamba watu wameamka sana zama hizi na hakuna hata anayeshituka zaidi ya kuwapotezea tu.
 
Kwanza Naomba radhi sana kuleta andiko hili hapa JF , mimi ni miongoni mwa watu waliosaidia Nyalandu kufika alipofika ndani ya Chadema (Sitafafanua ) , Nyalandu hakutakiwa kujibiwa na mimi...
Acha hasira bwana kibwengo
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Ni neno lake dhidi ya ukweli uliopo kama anatuambia ukweli. Puppet tu huyo wala tusipote muda naye. Mchumia tumbo tu huyo.
 
Ukiangalia Lowassa alivyohama CCM na alivyohama CDM utagundua yule jama ni mkomavu wa siasa.Alivyorudi CCM alisema nimerudi nyumbani.Simple and clear.Hawa wajinga akina Nyalandu sasa duh kelele kama zote
 
Back
Top Bottom