Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Nilivyoelewa Mimi ni kila mgombea anapigiwa kura za ndio na hapa then matokeo yanalingahishwa baadae, so nyarandu alipata zote then lisu alipata hizo 24.
Mshindi alikua nyarandu. Hongera sana nyarandu kutoboa ugenini
Ilikua inatafutwa wagombea watatu ila haikuwa one vs one...... Nyalandu na Lissu kweli mshindi hajulikani? Tuweni serious kidogo.
 
Nyalandu mwehu iweje kati kura 30 Lisu apate 24 then amgalqgaze.? Wehu hiui
 
Mimi ni CCM damu damu, na moyo moyo, roho roho..

Ila niseme wazi kwa ukweli kabisa, Nyalandu sio mwanasiasa wa kumuamini hata kidogo, he is a liability, na mnafiki sana, pia kwa haraka tu, Nyalandu hata 10% ya popularity ya Lissu hana. Mnajua mm sio mshabiki wa Lissu, ila nasema ukweli, Nyalandu sio kabisa.

Mh. Rais Samia awe makini sana na wanasiasa type ya Nyalandu. Never ever trust watu kama hao.
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Unauliza majibu.
Kama aligalagaza sasa hivi yuko wapi na anafanya nini.
Msaliti ana alama ya mauti usoni na chadema waliiona.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Achana na hilo shoga la kinyaturu
Nikikuonya humu kwamba sasa una kibarua kingine cha kumtukana Nyarandu, unaona sasa kiko wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado mpaka maji muite mma.

Tuendelee kufurahia show
 
Mimi ni CCM damu damu, na moyo moyo, roho roho..

Ila niseme wazi kwa ukweli kabisa, Nyalandu sio mwanasiasa wa kumuamini hata kidogo, he is a liability, na mnafiki sana, pia kwa haraka tu, Nyalandu hata 10% ya popularity ya Lissu hana. Mnajua nn sio mshabiki wa Lissu, ila nasema ukweli, Nyalandu sio kabisa.

Mh. Rais Samia awe makini sana na wanasiasa type ya Nyalandu. Never ever trust watu kama hao.
Huyo atakuwa katumwa na mama kama shariti la kupata uteuzi.

CCM ni ile ile.
 
Sio sababu za Nyalandu kurejea CCM, Sababu kuu ni jiwe kufariki na fursa mpya kwa Mama kupitia kina Kikwete.
Mafisadi warudi nyumbani. Wanyonge kaeni mkao wa masikitiko. Nchi itateketea tena.

Kaulizwa swali la Twiga, POVU lilimtoka. Du, nchi hii ni Magu tu ndio aliyoiweza.
 
Kwa Mujibu wa Nyalandu mwenyewe ni kwamba wajumbe wa Kamati kuu walikuwa 30 , Lissu alipata kura 24 , Nyalandu hakusema amepata ngapi na wala kura zilizoharibika hazifahamiki .[emoji23][emoji23][emoji23]ANAUMWA
Iko hivi!

Wajumbe wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake kisha wanalinganisha matokeo ya kila mmoja.

Kwa maana hiyo Nyarandu alipata kura zote 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.
kisha Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.

Lisu ni debe tupu.
 
Chadema ni Taasisi , kosa alilofanya Nyalandu ni kutangaza kwamba atahojiwa masaa 48 kabla , nzi wakafika kuchunguza kitakachojili , hili kwako ni huwezi kuelewa
Kubwa kuliko yote nyarandu alimgaragaza mr belgiji
 
simply tafakuri> leo ktk mahojiano na clouds fm alisema "wakati nakwendwa kamati kuu ya @chademaTz wajumbe walikuwa 30,nilipata kura zote na TL alipata kura 24,nilimgalagaza kwelikweli.watu wakasema nyalandu asije akawa kama Lowassa,watu waliotoka ccm hatuwezi kuwaamini." swali chonganishi kama TL alipata kura 24 ktk wajumbe 30 it means zilizo baki ni 6 na ktk mchuano walikuwa 2 tu.kwa maana hiyo hizo 6 zilizobaki zilienda kwa nyalandu.....je alimgalagaza au aligalagazwa?
Iko hivi,

Wajumbe 30 walikuwa wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.

Nyarandu akapata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.

Lisu yeye akapata kura 26 za ndiyo na kura 6 za hapana.

Lisu ni debe tupu aligalagazwa na nyarandu.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Inawezekana Nyalandu alimgaragaza Lissu kwenye hoja ila ilipofika wakati wa kupiga kura Lissu akapata 24 kati ya 30.

Hivyo analalamika wajumbe wa kamati kuu walimnyima kura kwa kujuana japo alimgaragaza mwanasheria msomi kwenye hoja.

Pole Nyalandu. Demokrasia ni kura.
Iko hivi

Wajumbe 30 wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.

Nyarandu alipata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana

Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na kura 6 za hapana.

Lisu aligaragazwa.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Iko hivi,

Wajumbe 30 walikuwa wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.

Nyarandu akapata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.

Lisu yeye akapata kura 26 za ndiyo na kura 6 za hapana.

Lisu ni debe tupu aligalagazwa na nyarandu.
ndivyo alivyoeleza au wewe ulikuwepo ktk mchakato au ni tafsili yako binafsi?
 
jitombashisho pamoja na kumnukuu Nyalandu, ukweli unabaki palepale kwamba Lissu ni mwanasiasa bora kuwa miaka 10 iliyopita.
Sio jiwe wala huyo njaa kali Nyalandu kwenye uwezo wa kujenga hoka na kusimamia kama kamanda Lissu.

Ukija kwenye mvuto wa kisiasa, baada
ya Mwalimu anayefuata kwa kujenga hoja na mvuto wa kisiasa ni Lissu.
Kwa taarifa yako/yenu Nyalandu ni mwanasiasa wa kawaida Sana.
 
Back
Top Bottom