zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ilikua inatafutwa wagombea watatu ila haikuwa one vs one...... Nyalandu na Lissu kweli mshindi hajulikani? Tuweni serious kidogo.Nilivyoelewa Mimi ni kila mgombea anapigiwa kura za ndio na hapa then matokeo yanalingahishwa baadae, so nyarandu alipata zote then lisu alipata hizo 24.
Mshindi alikua nyarandu. Hongera sana nyarandu kutoboa ugenini