Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Lazaro Nyalandu anaweza akawa anavaa suruwali kama sisi lakini siyo lazima kuwa ni Mwanaume kama sisi.

Kuwa Mwanaume si kuvaa suruali tu bali ni uwezo wa kumfanya mwanamke ateme mate
 
Iko hivi

Wajumbe 30 wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.

Nyarandu alipata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana

Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na kura 6 za hapana.

Lisu aligaragazwa.
Tumekusikia dada neema
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Mtaji wa CCM ni mambumbumbu,kamati kuu ina wajumbe wangapi?Kwa maelezo yake anasema Lissu alipata kura 24,kamati kuu inawajumbe 30 bila shaka,haya hesabu kwako zombie
 
Inawezekana Nyalandu alimgaragaza Lissu kwenye hoja ila ilipofika wakati wa kupiga kura Lissu akapata 24 kati ya 30.

Hivyo analalamika wajumbe wa kamati kuu walimnyima kura kwa kujuana japo alimgaragaza mwanasheria msomi kwenye hoja.

Pole Nyalandu. Demokrasia ni kura.
Nyalandu gani wa kumgaragaza Lissu kwenye hoja?

Kikwete alisema ni afadhali mimi nisiwe Rais lakini TL asiingie bungeni. TL akipanga hoja zake ni mwiba kwelikweli.
 
Tundu Lissu nafasi yake inayomfaa ni ubunge tu ,,,hii ya kugombea urais ilikuwa ni kujifariji tu
 
Kumbe Nyalandu kichwani Hamna kit.

Yaani wajumbe walikuwa 30 tu,vNyalandu alipata kura zote 30, Lissu alipataje kura 24 wakati Nyalandu alipata zote?
Ndiyo maana Serikali iliiweka bangi kwenye kundi la dawa za kulevya.
24/30X100%= 80%kura za lisu..sasa hiyo ya kumgaragaza inatoka wapi?😷😷
 
Sasa wajumbe walikuwa 30 kwa mujibu wa Nyallandu mwenyewe ,yeye akapata kura zote maana take zote 30 sasa hizo za Lissu 24 zinatoka wapi? Au mim sijaelewa?
Sio ww tu ambae hujaelewa. Hata Nyalandu mwenyewe hajaelewa anachoongea.
 
Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli, dikiteta magufuli asingeweza kupata kura hata moja mbele ya Membe.
We nawewe akilizako zinakutosha kuzungusha mikono juutu, sasa siusema ubayawake na alikuwa hovyo kivipi.

Acheni huu ujinga wa kupambana na mtu aliekufa mnaonekana ni kama ma zwazwa.
 
Huyo amesharudi huko kwa wezi na majambazi wenzie. Atulize makalio sasa na sio kuropoka ropoka hovyo
 
Chadema Kuna unafiq mwingi Kama mnakumbuka kabla Lisu hajarudi kugombea Urais Kuna taarifa zilivuja Lema alikua akiongea sikumbuki na kiongoz gani mwingine walikua waki mteta Lisu.
Yeye Lema alikua akidai Lisu anaongea Kama tayari ameshakua Rais wakawa Wana mcheka.
Kingine kinacho ashiria Lisu alitengwa na viongozi waandamiz wa Chadema ni kuwa mbali na kampenizake za Urais.
Kwa ujumla Ilionekana Viongozi wa andamizi hawakumtaka Lisu Ila wanachama wengi walipenda Lisu awe mgombea wao wa Urais. Mbowe ilibidi akubali maoni ya wanachama hatakama hawakumpenda Lisu.
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.

Hata mboe mwenyewe bila shaka hakutaka tundu agombee ingawa alijua watashindwa tu ndio maana aliachwa azurule mwenyewe, mboe alijua tundu ni mwana harakaritu na asingeweza kuwa kiongozi.
Tundu kupata urais ingeekuwa miujiza sababu hakuwa na serayoyote ya kimaendeleo kwa wananchi zaidi ya kumtukana hayati magutu, nikama alikuwa anafuta tu platform ya kuwaelezea watu jinsi alivyo pigwa vyuma, na kumlopokea magu basi hakuwa serious na urais.
 
Back
Top Bottom