Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Lazaro Nyalandu anaweza akawa anavaa suruwali kama sisi lakini siyo lazima kuwa ni Mwanaume kama sisi.Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Kuwa Mwanaume si kuvaa suruali tu bali ni uwezo wa kumfanya mwanamke ateme mate