Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Nyalandu gani wa kumgaragaza Lissu kwenye hoja?

Kikwete alisema ni afadhali mimi nisiwe Rais lakini TL asiingie bungeni. TL akipanga hoja zake ni mwiba kwelikweli.
Lissu ni next level. Sijawahi kuchoka kusikiliza hoja zake.
Nashangaa baadhi ya watu wanajaribu kumlinganisha na Nyalandu.
 
Yaani inashangaza, kiongozi wa pili kwa ukubwa ndani ya chama, anaongoza chama kwa twitter na wasap. Mtu akiwa na shida inabid awashe data waongee video call! Hicho chama kinataka kushika dola.
Mwenyekiti wa chama ni wa kudumu, akitokea mtu wa ku mchallenge anaitwa kibaraka au msaliti. Alianza Chacha Wangwe, akaja Arfi, kisha Zitto. Na juzi juzi Sumaye aliambiwa kwamba " sumu haionjwi" kisa lake ilikua ni kutaka uwenyekiti.

Wanachama wengi ni kama mandondocha, wengi ni hoya hoya wasio na akili. Utasikia "mama Samia toa huyo Ndugai" hawajui hata tofauti ya Mihimili bunge, mahakama na serikali vinavyofanya kazi. Sasa wamebaki kushangilia vifo, yaani hawajui hata kesho yao. CCM ni chama hovyo ila hawa wengine ni hovyo kabisa
 
We nawewe akilizako zinakutosha kuzungusha mikono juutu, sasa siusema ubayawake na alikuwa hovyo kivipi.

Acheni huu ujinga wa kupambana na mtu aliekufa mnaonekana ni kama ma zwazwa.
Nyie ndio mazwazwa ambao bado mnamwabudu marehemu
 
Good riddance to bad garbage

Nyalandu ana sifa moja tu, he's married to a beautiful lady.

Mengine ni tabia zake za "kikekike"
 
Umeeleza sawa, ila nadhani si debe tupu maana kupata 24 kati ya 30 si haba. Ni asilimia 80!
Iko hivi!

Wajumbe wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake kisha wanalinganisha matokeo ya kila mmoja.

Kwa maana hiyo Nyarandu alipata kura zote 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.
kisha Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.

Lisu ni debe tupu.
 
We nawewe akilizako zinakutosha kuzungusha mikono juutu, sasa siusema ubayawake na alikuwa hovyo kivipi.

Acheni huu ujinga wa kupambana na mtu aliekufa mnaonekana ni kama ma zwazwa.
We ni propesa LIPUMBA vuuu.
 
..labda kwasababu Kamati Kuu ya Chadema walikuwa hawana uhakika kama Tundu Lissu atarejea toka Ubelgiji.

..sidhani kama Nyalandu anaweza kuwa na ushawishi kwa viongozi wa kamati kuu ya Chadema kumzidi Tundu Lissu.
 
Hata mboe mwenyewe bila shaka hakutaka tundu agombee ingawa alijua watashindwa tu ndio maana aliachwa azurule mwenyewe, mboe alijua tundu ni mwana harakaritu na asingeweza kuwa kiongozi.
Tundu kupata urais ingeekuwa miujiza sababu hakuwa na serayoyote ya kimaendeleo kwa wananchi zaidi ya kumtukana hayati magutu, nikama alikuwa anafuta tu platform ya kuwaelezea watu jinsi alivyo pigwa vyuma, na kumlopokea magu basi hakuwa serious na urais.

..Lissu alikuwa anaweza kujipigia kampeni mwenyewe, ndio maana hukuona viongozi wakuu wa chadema.

..pia ilionekana kwamba uwepo wa viongozi wakuu ktk kampeni za Lissu unampunguzia nafasi mgombea kujinadi kwa wapiga kura.

..lingine ni kwamba viongozi uliotaka waandamane na mgombea Uraisi walikuwa na wakati mgumu majimboni walikokuwa wanagombea kutokana na hujuma na mbinu chafu za ccm wakisaidiana na tume na vyombo vya dola.
 
Hawakushindanishwa wote kwa pamoja, bali kila mmoja katika wagombea waliopitishwa alipigiwa kura kwa wakati wake na haohao wajumbe 30 ili kupata anayekubalika zaidi.

Kwahiyo wawili walioongoza ni Nyalandu (30) na Lissu (24) na wakaenda hadi hatua ya mwisho ambapo Lissu alimshinda Nyalandu. Ila ingefaa sana endapo Nyalandu angetulia baada ya kurudi alikosema nyumbani unakoimbika wimbo wa Bwana
Hivi hujiona ulivyo mjinga?Huyo mpumbavu mwenzako amesema kuwa wapiga kura walikuwa 30 ,Lisu akapata kura 24.Huko kugaragaza kumetokeaje?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Nyalandu angekuwa mwenye busara sana na utashi endapo angerejea CCM wakati mwanakwenda yuko hai na kutoa huo utumbo wake aliosema. Wakati huu sisi wana CDM tunaona anajaribu kuangalia fursa za ugali wakati huu wa utawala wa mama.
 
Back
Top Bottom