atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Safari hii lazima upakatwe na CHADEMA no way outChadema ni lichama la hovyo kuwahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii lazima upakatwe na CHADEMA no way outChadema ni lichama la hovyo kuwahi kutokea.
Lissu ni next level. Sijawahi kuchoka kusikiliza hoja zake.Nyalandu gani wa kumgaragaza Lissu kwenye hoja?
Kikwete alisema ni afadhali mimi nisiwe Rais lakini TL asiingie bungeni. TL akipanga hoja zake ni mwiba kwelikweli.
Nitakubamiza wewe, acha kunizoea zoea.Safari hii lazima upakatwe na CHADEMA no way out
Sasa kama Tundu Lissu alipata kura 24 kati ya 30 za wajumbe alimgaragazaje?ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka.
View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kubalini ukweli mwendazake hakuwa na kipawa cha uongozi,mlilazimishia tuuHahahahaaa,umefuzu upumbavu kwa kiwango cha digree
Nyie ndio mazwazwa ambao bado mnamwabudu marehemuWe nawewe akilizako zinakutosha kuzungusha mikono juutu, sasa siusema ubayawake na alikuwa hovyo kivipi.
Acheni huu ujinga wa kupambana na mtu aliekufa mnaonekana ni kama ma zwazwa.
Toka jiwe ameondoka mmekuwa wepesi kama toilets paper,mmeachwa wakiwa sana pole ila ndio hivyo tulia dawa iwaingieNitakubamiza wewe, acha kunizoea zoea.
Iko hivi!
Wajumbe wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake kisha wanalinganisha matokeo ya kila mmoja.
Kwa maana hiyo Nyarandu alipata kura zote 30 za ndiyo na kura 0 za hapana.
kisha Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na 6 za hapana.
Lisu ni debe tupu.
Na kweli kawa kama lowasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ukisoma kwa umakini utagundua huyu Nyallandu analanduka.
View attachment 1772007
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
We ni propesa LIPUMBA vuuu.We nawewe akilizako zinakutosha kuzungusha mikono juutu, sasa siusema ubayawake na alikuwa hovyo kivipi.
Acheni huu ujinga wa kupambana na mtu aliekufa mnaonekana ni kama ma zwazwa.
Sawa profesa LIPUMBA vuuu.Hahahahaaa,umefuzu upumbavu kwa kiwango cha digree
Hata mboe mwenyewe bila shaka hakutaka tundu agombee ingawa alijua watashindwa tu ndio maana aliachwa azurule mwenyewe, mboe alijua tundu ni mwana harakaritu na asingeweza kuwa kiongozi.
Tundu kupata urais ingeekuwa miujiza sababu hakuwa na serayoyote ya kimaendeleo kwa wananchi zaidi ya kumtukana hayati magutu, nikama alikuwa anafuta tu platform ya kuwaelezea watu jinsi alivyo pigwa vyuma, na kumlopokea magu basi hakuwa serious na urais.
Hivi hujiona ulivyo mjinga?Huyo mpumbavu mwenzako amesema kuwa wapiga kura walikuwa 30 ,Lisu akapata kura 24.Huko kugaragaza kumetokeaje?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwa taarifa yako hata huyo jiwe 2015 hakushinda kura za maoni, alipigwa na mwanamama balozi.
Nyalandu angekuwa mwenye busara sana na utashi endapo angerejea CCM wakati mwanakwenda yuko hai na kutoa huo utumbo wake aliosema. Wakati huu sisi wana CDM tunaona anajaribu kuangalia fursa za ugali wakati huu wa utawala wa mama.Inafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Nali kakwambia alishindwa, acha habari za vijiweni wewembna lissu aligaragazwa ila mkafosi