nygax
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,370
- 865
Mkuu huwa ni Mara chache sana wewe kuwa na hasira, huwa unajitahidi kuwa neutral vipi tena?Weka mkeka wa kura hapa tuone mnafiki mkubwa wee !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwa ni Mara chache sana wewe kuwa na hasira, huwa unajitahidi kuwa neutral vipi tena?Weka mkeka wa kura hapa tuone mnafiki mkubwa wee !!
Kumbe ndio hivyo mambo yalivyokuwa. Sasa hapo inaonekana wajumbe wote walikuwa na imani na Nyalandu ila hakumgaragaza Lissu maana hawakupigiwa kura za ushindani. Huo ndio ukweliIko hivi
Wajumbe 30 wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.
Nyarandu alipata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana
Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na kura 6 za hapana.
Lisu aligaragazwa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa Lisu hakubaliki ndani ya chama.Kumbe ndio hivyo mambo yalivyokuwa. Sasa hapo inaonekana wajumbe wote walikuwa na imani na Nyalandu ila hakumgaragaza Lissu maana hawakupigiwa kura za ushindani. Huo ndio ukweli
Nchi hii mbona ina watu wajinga kupitiliza. Ndiyo maana unamkuta Dr wa electronics hawezi kuunda hata saa ,huku akishindwa na mtoto ambaye yupo form one china kwenye electronics. Jinga Kama wewe unaakubali kabisa nyalando ashindane na Lisu alafu Lisu apate kula 4?.Ndo maaana mnaishiaga kupigiwa kelele na wanaboda boda tu maaana mkipewa ushauri hamuelewagi.
Tulia, mama anaingiza sindanoInafikirisha sana!
Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.
Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.
Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.
Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Imeandika hivyoKuna mahali niliwahi kusoma kwenye Biblia imeandikwa hata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima...
Nchi hii mbona ina watu wajinga kupitiliza. Ndiyo maana unamkuta Dr wa electronics hawezi kuunda hata saa ,huku akishindwa na mtoto ambaye yupo form one china kwenye electronics. Jinga Kama wewe unaakubali kabisa nyalando ashindane na Lisu alafu Lisu apate kula 4?.
Kwa maprofesa na madocta kufungua bar na magesti? Tutaunda nini na mmetengeza taifa la wajinga?.kwan una miaka mingap dogo na umeshaunda nn mpaka saaahv? alafu mbna mnamtetea sana lissu, kwan ni uongo kura za awali hakushindwa? mbna kila mtu anajua au mlidhan ni Siri?
Kwa maprofesa na madocta kufungua bar na magesti? Tutaunda nini na mmetengeza taifa la wajinga?.
Yamekuzidi uwezo wako wa kufikiria. Kodi mnazochukua kutoka kwangu hazilisaidii taifa?. Kuwa kiakili Basi siyo mwili.mbna unaongelea sana hao maprofesa ebu tuanze na wewe umetengeneza nn mpaka saaahv kulisidia taifa? maaana sio unabweka tu na kuita watu wajinga kumbe we ndo mjinga wa kwanza
Yamekuzidi uwezo wako wa kufikiria. Kodi mnazochukua kutoka kwangu hazilisaidii taifa?. Kuwa kiakili Basi siyo mwili.
Mama cookie kwema,naskia umezaa n marioo mwingine,hongera mamaAlipokuwa chadema hakuwa kichaa?
Si bora ya hao jiwe aligombea na naniMjinga ni wewe Lazaro kasema ukweli chadema wanaubinafsi kuna genge la wahuni siyo wana siasa.