Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Kwanini Nyalandu alimgaragaza kwa kura za kishindo kwenye kamati Kuu ya CHADEMA aliyekuwa mshindani wake Tundu Lissu?

Iko hivi

Wajumbe 30 wanampigia kura kila mmoja kwa wakati wake.

Nyarandu alipata kura 30 za ndiyo na kura 0 za hapana

Lisu yeye alipata kura 24 za ndiyo na kura 6 za hapana.

Lisu aligaragazwa.
Kumbe ndio hivyo mambo yalivyokuwa. Sasa hapo inaonekana wajumbe wote walikuwa na imani na Nyalandu ila hakumgaragaza Lissu maana hawakupigiwa kura za ushindani. Huo ndio ukweli
 
Kumbe ndio hivyo mambo yalivyokuwa. Sasa hapo inaonekana wajumbe wote walikuwa na imani na Nyalandu ila hakumgaragaza Lissu maana hawakupigiwa kura za ushindani. Huo ndio ukweli
Hii ni aibu kubwa sana kwa Lisu hakubaliki ndani ya chama.
 
Ndo maaana mnaishiaga kupigiwa kelele na wanaboda boda tu maaana mkipewa ushauri hamuelewagi.
Nchi hii mbona ina watu wajinga kupitiliza. Ndiyo maana unamkuta Dr wa electronics hawezi kuunda hata saa ,huku akishindwa na mtoto ambaye yupo form one china kwenye electronics. Jinga Kama wewe unaakubali kabisa nyalando ashindane na Lisu alafu Lisu apate kula 4?.
 
Inafikirisha sana!

Kwa mujibu wa yeye Lazaro Nyalandu amedai alipata ushindi wa kishindo dhidi ya aliyekuwa mshindani wake Tundu katika ngazi ya kamati kuu.

Kura nne pekee alizopata Tundu kwenye kamati kuu ni wazi pengine ndani ya CHADEMA upo udikteta wa wazi wa kiongozi wa chama wa kuamua ni nani awe nani na yupi asiwe.

Hii ni kashfa kubwa kwa CHADEMA na Tundu Lissu mwenyewe.

Pia,na kama ni kweli Tundu alionyesha chuki za wazi kwa Lazaro hakika pamoja na kwamba hakuchaguliwa kuwa kiongozi wa Nchi yetu lakini ni bayana hafai kuwa.

Mungu ibariki Tanzania.
Tulia, mama anaingiza sindano
 
Nchi hii mbona ina watu wajinga kupitiliza. Ndiyo maana unamkuta Dr wa electronics hawezi kuunda hata saa ,huku akishindwa na mtoto ambaye yupo form one china kwenye electronics. Jinga Kama wewe unaakubali kabisa nyalando ashindane na Lisu alafu Lisu apate kula 4?.

kwan una miaka mingap dogo na umeshaunda nn mpaka saaahv? alafu mbna mnamtetea sana lissu, kwan ni uongo kura za awali hakushindwa? mbna kila mtu anajua au mlidhan ni siri?
 
kwan una miaka mingap dogo na umeshaunda nn mpaka saaahv? alafu mbna mnamtetea sana lissu, kwan ni uongo kura za awali hakushindwa? mbna kila mtu anajua au mlidhan ni Siri?
Kwa maprofesa na madocta kufungua bar na magesti? Tutaunda nini na mmetengeza taifa la wajinga?.
 
Kwa maprofesa na madocta kufungua bar na magesti? Tutaunda nini na mmetengeza taifa la wajinga?.

mbna unaongelea sana hao maprofesa ebu tuanze na wewe umetengeneza nn mpaka saaahv kulisidia taifa? maaana sio unabweka tu na kuita watu wajinga kumbe we ndo mjinga wa kwanza
 
mbna unaongelea sana hao maprofesa ebu tuanze na wewe umetengeneza nn mpaka saaahv kulisidia taifa? maaana sio unabweka tu na kuita watu wajinga kumbe we ndo mjinga wa kwanza
Yamekuzidi uwezo wako wa kufikiria. Kodi mnazochukua kutoka kwangu hazilisaidii taifa?. Kuwa kiakili Basi siyo mwili.
 
Yamekuzidi uwezo wako wa kufikiria. Kodi mnazochukua kutoka kwangu hazilisaidii taifa?. Kuwa kiakili Basi siyo mwili.

jibu swali, umeeunda nn mpaka saaahv si unaita wenzako wajinga basi wewe mwenye akili umeunda nn mpaka saaahv?
 
Back
Top Bottom