Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Ha ha ha ha.we unataka mie nipigwe humu sasa. Haya tumewasikia wanaume was dar,sasa nyinyi jambo dogo kama hilo tu mnalia mpaka mnawalilisha kilio chenu,hao was mwakaleli wanauana lakini sijasikia na wao wakiwakilisha hicho kilio...only in dar,mqanaume Analia kwa kuambiwa yeye ni mwanaume wa dar ha ha ha ha ha ha...sihami daslam
 
Wanaume wa dar kweli ipo shida punguzeni kula chips mayai na kuku wa wiki 4 (vifaranga) mnapungukiwa nguvu kuu na mkishindwa mnatumia ulimi ambao sio kazi yake hapo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Waonee huruma
 
Ila kweli jamani wawahurumie, yaani imekuwa too much!!! hadi ukikutana na mkaka Posta anaogopa kusema mimi nakaa hapahapa Dar, eti anasema nimekuja Dar maramoja ila natokea Mwanza!
Nmecheka sana
 
Wanaume wa dar kweli ipo shida punguzeni kula chips mayai na kuku wa wiki 4 (vifaranga) mnapungukiwa nguvu kuu na mkishindwa mnatumia ulimi ambao sio kazi yake hapo
Nhiiii nhiiiiiii nhiiiiiiiiiiii
 
Hata ulivokuja kulalamika hivi pia lazima tuwaseme vibaya wanaume wa dar,hamna vifua,sasa umeshindwa kuvumilia mpaka uje kulia liA hapa,lini sisi wa mikoani tukaandika post za hivi ?
 
Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi Dar mnatudharau kwa lipi haswa kubwa? Kwani matatizo ya kimapenzi huwapata watu wa Dar tu?

Nyie huko kwenu Mwakaleli mbona kila kukicha wanauwana kwasababu ya mapenzi? Acheni hizo tumewachoka kwa kutudharau wanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar tunafanya kazi, wanaume wa Dar tunaweka mimba, wanaume wa Dar tunavigezo vyote vya kuwafanya wanawake walie vitandani kwa mahaba acheni kutudharau, nyie mbona walugaluga na sie hatusemi? Watu makwenu Mbwinde huko hata gari ya abiria kuiona issue alafu unaleta dharau! Hebu jiheshimuni!

NIMEWAKILISHA KILIO CHA WANAUME WOTE WANAOISHI DAR.
wànàume wa DAR vitu vidogo mnalia.
dada zenu tuwalize ninyi pia tuwalize aaaaaarrrrgggh!!!!
 
fd2c99163e96913f822f1d46c0f87c41.jpg
etiiii
 
Back
Top Bottom