Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Tumekuwa nyoro nyoro vipi, mbona wanatoa machozi vitandani...acheni hizo nyie
Hapo hapo ndio kuna tatizo .wanaume wa dar hawajui kutofautisha majozi ya mamba analia huku unakumeza .unajisifia majozi kweni unakunywa hayo machozi .juice ya machozi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha ha.we unataka mie nipigwe humu sasa. Haya tumewasikia wanaume was dar,sasa nyinyi jambo dogo kama hilo tu mnalia mpaka mnawalilisha kilio chenu,hao was mwakaleli wanauana lakini sijasikia na wao wakiwakilisha hicho kilio...only in dar,mqanaume Analia kwa kuambiwa yeye ni mwanaume wa dar ha ha ha ha ha ha...sihami daslam
Wapunguze kutwa kwenye mitandao mtu katoka kazini kufika nyumbani badala akae na mkewe kutwa kwenye laptop akiulizwa kununa wewe mapema kazini ukirudi laptop muda na mke hakuna unategemea nini wanaume wa dar wabadilike tu wasilie lie hapa
 
Wambieeeeeeeeeeeeee hao,hata mie nimechoka kusikia wanaume wa DAR,kitu kidogo wauname wa DAR hao, wanasema hata fenesi wana menyewa,mua wanakamuliwa,kwani kujipenda kosa? ukienda saloon kufanyia facial ooh wanaume wa dar hawajui kama ndio wanaume wa dar ndio mpango mzima..lol
Wataelewa tu! watu wanaishi mbwinde huko wanalala na mifugo then wanatuletea jeuri hapa Jf
 
Back
Top Bottom