Nitafute pm kwa maelezo zaidiafadhali umenena mi nipo single kumbe hawafai ee
Ha ha ha ha.we unataka mie nipigwe humu sasa. Haya tumewasikia wanaume was dar,sasa nyinyi jambo dogo kama hilo tu mnalia mpaka mnawalilisha kilio chenu,hao was mwakaleli wanauana lakini sijasikia na wao wakiwakilisha hicho kilio...only in dar,mqanaume Analia kwa kuambiwa yeye ni mwanaume wa dar ha ha ha ha ha ha...sihami daslamMaserati unaitwa huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha.we unataka mie nipigwe humu sasa. Haya tumewasikia wanaume was dar,sasa nyinyi jambo dogo kama hilo tu mnalia mpaka mnawalilisha kilio chenu,hao was mwakaleli wanauana lakini sijasikia na wao wakiwakilisha hicho kilio...only in dar,mqanaume Analia kwa kuambiwa yeye ni mwanaume wa dar ha ha ha ha ha ha...sihami daslam
Nmecheka sanaIla kweli jamani wawahurumie, yaani imekuwa too much!!! hadi ukikutana na mkaka Posta anaogopa kusema mimi nakaa hapahapa Dar, eti anasema nimekuja Dar maramoja ila natokea Mwanza!
Nhiiii nhiiiiiii nhiiiiiiiiiiiiWanaume wa dar kweli ipo shida punguzeni kula chips mayai na kuku wa wiki 4 (vifaranga) mnapungukiwa nguvu kuu na mkishindwa mnatumia ulimi ambao sio kazi yake hapo
wànàume wa DAR vitu vidogo mnalia.Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi Dar mnatudharau kwa lipi haswa kubwa? Kwani matatizo ya kimapenzi huwapata watu wa Dar tu?
Nyie huko kwenu Mwakaleli mbona kila kukicha wanauwana kwasababu ya mapenzi? Acheni hizo tumewachoka kwa kutudharau wanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar tunafanya kazi, wanaume wa Dar tunaweka mimba, wanaume wa Dar tunavigezo vyote vya kuwafanya wanawake walie vitandani kwa mahaba acheni kutudharau, nyie mbona walugaluga na sie hatusemi? Watu makwenu Mbwinde huko hata gari ya abiria kuiona issue alafu unaleta dharau! Hebu jiheshimuni!
NIMEWAKILISHA KILIO CHA WANAUME WOTE WANAOISHI DAR.
Machozi????Tumekuwa nyoro nyoro vipi, mbona wanatoa machozi vitandani...acheni hizo nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]