Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Tumekuwa nyoro nyoro vipi, mbona wanatoa machozi vitandani...acheni hizo nyie
Hapo hapo ndio kuna tatizo .wanaume wa dar hawajui kutofautisha majozi ya mamba analia huku unakumeza .unajisifia majozi kweni unakunywa hayo machozi .juice ya machozi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapunguze kutwa kwenye mitandao mtu katoka kazini kufika nyumbani badala akae na mkewe kutwa kwenye laptop akiulizwa kununa wewe mapema kazini ukirudi laptop muda na mke hakuna unategemea nini wanaume wa dar wabadilike tu wasilie lie hapa
 
Wataelewa tu! watu wanaishi mbwinde huko wanalala na mifugo then wanatuletea jeuri hapa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…