Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Usichukulie kila kitu siriaz. Ukiishi kwa kufanya hivyo sio vizuri mbona kipindi mpo na usser nilikua namtania tu. BTW sikudhamilia hivyo kabisa na wala sina maana hiyo just jokes tu sa men. Chukulia simpo bwana.
 
Oh yess nilisahau kidogo but thank God for a responsible man who is carring and reminding his wife
Thanks again Smart911
Mimi siwezi sahahu kwa sababu hizo shangwe ulikua unazitoa mwenyewe... Mpaka jirani akaja kukugongea... Na hukufungua...

Kuna watu wanapenda kujua mambo ya watu... Wewe siku zote umujulii mtu hali... Mpaka siku hiyo anapigishwa shangwe unajifanya kujisogeza...


Hahahah...

# Nacheka kwa dhaaraaau #
 
Kimyaa si wao ni loosers gere wanaleta gere na gere inazidi baambaa gere wao ni mbuzi watakula kwa urefu wa kamba geere tumejipanga. ...
hahahaha mie teinaaa lol
Mengine wacha nifunge domo langu mie

Habari yako ndugu Antonio??
Ni salama mkuu mahondaw na uwe na usiku mwema ndugu
 

Smart911 mylove Ulininogesha sana mautam kwa sana kunena kwa lugha kwa sanaa walisaluteeee
Afu unajua nini smart unilizaaaa weeeeeeee nalia weeeeeeee afu badae unanibembeleza mwenyewe poyee poyeeeee dah kupendana raha sana
 
Sio najipa moyo..ndio ukweli mtupu huo ndugu yangu....Ningekuwa mjinga² usingeona nachangia mada hii....

Ila kunyimwa kuingia PM na kuitwa Mjingamjinga Yataka moyo [emoji81] [emoji23]
Ahahahhaahha halaf weweee lo ,ipo siku utaniita kunionyesha ujinga wa watu humu utasema nimesema kweli tunza maneno yangu
 
Mi tokea Baby wangu Faiza aliponipromise kufungua PM pamoja na moyo wake kwangu peke yangu, mimi waaala sihitaji kuhangaika tena.

Labda kama mwenzangu ananicheat kimyakimya.

Wabillah Tawfiq
Ahahahahhaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…