Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najaribu kujiuliza... mtoa mada amejuaje kama huyu mrembo mfano miss chagga aanafaa kwenye matangazo wakati avatar yake kuna ua tu!
Usichukulie kila kitu siriaz. Ukiishi kwa kufanya hivyo sio vizuri mbona kipindi mpo na usser nilikua namtania tu. BTW sikudhamilia hivyo kabisa na wala sina maana hiyo just jokes tu sa men. Chukulia simpo bwana.Yesterday I thought you are my bro talking of those stories za ukanda wetu mwee nikakutetea kwa mywii napingana nayule sijui nani yule nae snitch nimemsahau ili umpate mywii nawaandalia chumba napiga vigeregere leo hii wewe wa kunisnitch wewe..!?!?!
Aisee nimevuaaa unduguuu...
Mimi siwezi sahahu kwa sababu hizo shangwe ulikua unazitoa mwenyewe... Mpaka jirani akaja kukugongea... Na hukufungua...Oh yess nilisahau kidogo but thank God for a responsible man who is carring and reminding his wife
Thanks again Smart911
Ni salama mkuu mahondaw na uwe na usiku mwema nduguKimyaa si wao ni loosers gere wanaleta gere na gere inazidi baambaa gere wao ni mbuzi watakula kwa urefu wa kamba geere tumejipanga. ...
hahahaha mie teinaaa lol
Mengine wacha nifunge domo langu mie
Habari yako ndugu Antonio??
Mimi siwezi sahahu kwa sababu hizo shangwe ulikua unazitoa mwenyewe... Mpaka jirani akaja kukugongea... Na hukufungua...
Kuna watu wanapenda kujua mambo ya watu... Wewe siku zote umujulii mtu hali... Mpaka siku hiyo anapigishwa shangwe unajifanya kujisogeza...
Hahahah...
# Nacheka kwa dhaaraaau #
Ni salama mkuu mahondaw na uwe na usiku mwema ndugu
Asante sana na Bwana Yesu akulinde kiongoziAsante sana mkuu nawe uwe na usiku mwema
njoo tuyajengeDidy are you sure nije now!!!!
nakupata nakupata mkuumahonday upo?
Kasinde amenituma nikufikishie salamu zake mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]Thanks for all wakudeka wangu... Ukianza kudeka mahondaw unalegea vizuri... Kuanzia macho...
Hiki ndo kipindi muafaka cha kumpata Paprika wangu!![emoji1][emoji1][emoji1].........Sifa na utukufu zimuendee alieumba mbingu na nchi!!!Am coming
Kuna mwanaume humu alileta thread hawezi kumuangalia mwanamke machoniHivi kuna wanaume wasiojiamini kweli?
Ahahahhaahha halaf weweee lo ,ipo siku utaniita kunionyesha ujinga wa watu humu utasema nimesema kweli tunza maneno yanguSio najipa moyo..ndio ukweli mtupu huo ndugu yangu....Ningekuwa mjinga² usingeona nachangia mada hii....
Ila kunyimwa kuingia PM na kuitwa Mjingamjinga Yataka moyo [emoji81] [emoji23]
AhahahahhahaMi tokea Baby wangu Faiza aliponipromise kufungua PM pamoja na moyo wake kwangu peke yangu, mimi waaala sihitaji kuhangaika tena.
Labda kama mwenzangu ananicheat kimyakimya.
Wabillah Tawfiq
We upojeeeee acha watu na mapenzi yaoKasinde amenituma nikufikishie salamu zake mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]
Tofautisha mvulana na mwanaume mkuu na yule ni mvulanaKuna mwanaume humu alileta thread hawezi kumuangalia mwanamke machoni