juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Nikija.Aiseee na husna unampeleka wapi
Mtaje ili kunogesha upendo.Unam-PM Mtu Kumbe Jidume Linawashwa. Hahaha. Nimewah KuPM Mmoja Tu Na Nishaonana Nae Na Ni Mwanamke Kweli. Tena Wa Haja.Alafu Same Proffesion,Same Tribe. Damn!
Sihitaji KuPM Mwingine Maana Nahis NtaPM Jinni! Wacha Nibaki Na Huyu Nliebahatisha Anatosha!
Ila Kama Ni Mwanamke Na Sio Jinni Wala Wale Wanaotafutwa Na Dkt. Kigwangala,NiPM Tu Usiofu...
hahahhahah yule ni kiboko yako husna ananifurahishaga sanaNikija.
Hicho ni kitenzi cha kubashiri kutendeka kwa tendo. Nikiokota pesa. Nikienda mbinguni.
Nipo naye hapa. Ndiye kaandika hii sentensi ya mwisho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unam-PM Mtu Kumbe Jidume Linawashwa. Hahaha. Nimewah KuPM Mmoja Tu Na Nishaonana Nae Na Ni Mwanamke Kweli. Tena Wa Haja.Alafu Same Proffesion,Same Tribe. Damn!
Sihitaji KuPM Mwingine Maana Nahis NtaPM Jinni! Wacha Nibaki Na Huyu Nliebahatisha Anatosha!
Ila Kama Ni Mwanamke Na Sio Jinni Wala Wale Wanaotafutwa Na Dkt. Kigwangala,NiPM Tu Usiofu...
Hahahaha yaani ni kiboko ya masista duu kama hamorapa alivyo kiboko ya mabishoo.hahahhahah yule ni kiboko yako husna ananifurahishaga sana
jibu mubasharaMatusi ya humu mara wanawake wa JF sijui hivi
mara wazushiwe hiki,,
bora tu wafunge PM zao
hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaaHahahaha yaani ni kiboko ya masista duu kama hamorapa alivyo kiboko ya mabishoo.
Eeeh mke wangu anakufurahisha nini shuni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa
husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikimuona najua chuma kimeingia kiboko yake mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
That's my baby. Chezea toto la kimaaaakonde wewe.
Hebu huko...maneno yako utanipeperushia ndege wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikimuona najua chuma kimeingia kiboko yake mtu
hahahahahh hayupo ata kupajua sijui kama anapajuaHebu huko...maneno yako utanipeperushia ndege wewe.
Hivi yupo kule kwa wakubwa?
Bora...hahahahahh hayupo ata kupajua sijui kama anapajua
karibu sana si kupo waziUnaniruhusu nije.
Hata mie umenibloku?Hata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Kwenye hao wa3 mini nipo? [emoji18]Hata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima