juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Unam-PM Mtu Kumbe Jidume Linawashwa. Hahaha. Nimewah KuPM Mmoja Tu Na Nishaonana Nae Na Ni Mwanamke Kweli. Tena Wa Haja.Alafu Same Proffesion,Same Tribe. Damn!
Sihitaji KuPM Mwingine Maana Nahis NtaPM Jinni! Wacha Nibaki Na Huyu Nliebahatisha Anatosha!
Ila Kama Ni Mwanamke Na Sio Jinni Wala Wale Wanaotafutwa Na Dkt. Kigwangala,NiPM Tu Usiofu...