Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Unam-PM Mtu Kumbe Jidume Linawashwa. Hahaha. Nimewah KuPM Mmoja Tu Na Nishaonana Nae Na Ni Mwanamke Kweli. Tena Wa Haja.Alafu Same Proffesion,Same Tribe. Damn!
Sihitaji KuPM Mwingine Maana Nahis NtaPM Jinni! Wacha Nibaki Na Huyu Nliebahatisha Anatosha!
Ila Kama Ni Mwanamke Na Sio Jinni Wala Wale Wanaotafutwa Na Dkt. Kigwangala,NiPM Tu Usiofu...
 
Mtaje ili kunogesha upendo.
 
Nikija.
Hicho ni kitenzi cha kubashiri kutendeka kwa tendo. Nikiokota pesa. Nikienda mbinguni.

Nipo naye hapa. Ndiye kaandika hii sentensi ya mwisho.
hahahhahah yule ni kiboko yako husna ananifurahishaga sana
 
Unam-PM Mtu Kumbe Jidume Linawashwa. Hahaha. Nimewah KuPM Mmoja Tu Na Nishaonana Nae Na Ni Mwanamke Kweli. Tena Wa Haja.Alafu Same Proffesion,Same Tribe. Damn!
Sihitaji KuPM Mwingine Maana Nahis NtaPM Jinni! Wacha Nibaki Na Huyu Nliebahatisha Anatosha!
Ila Kama Ni Mwanamke Na Sio Jinni Wala Wale Wanaotafutwa Na Dkt. Kigwangala,NiPM Tu Usiofu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahhahah yule ni kiboko yako husna ananifurahishaga sana
Hahahaha yaani ni kiboko ya masista duu kama hamorapa alivyo kiboko ya mabishoo.

Eeeh mke wangu anakufurahisha nini shuni?
 
hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa

husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
That's my baby. Chezea toto la kimaaaakonde wewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikimuona najua chuma kimeingia kiboko yake mtu
 
najaribu kujiuliza... mtoa mada amejuaje kama huyu mrembo mfano miss chagga aanafaa kwenye matangazo wakati avatar yake kuna ua tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom