Be a man.....unakuja kwenye thread hapa unamuomba Miss Natafuta naomba kuja PM.....mwanamke anaejitambua atakusikiliza.Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Hahahahahah sasa kila mtu ataulizaa siri yanguKwenye hao wa3 mini nipo? [emoji18]
Kumbe tuko watatu tu wenye ufunguo....Hata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Mimi ndie nliuliza aisee,sema hyo reply skuiona,kuna bwana mdogo mmoja aliniachafulia hali ya hewa.hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa
husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
Fungua pm upewe tangazo la biasharaDaby mbona mm pm yangu ipo wazi sihusiki kabisa na hii topic
EeeeeeHata mie umenibloku?
Eeeee ndioKumbe tuko watatu tu wenye ufunguo....
Vibaya ivo bishosti,ata mie nina moyo,na kama ujuavyo moyo umeumbwa kupenda vitu vizurivizuri.Eeeeee
Naomba niwe wa 4 dinaHata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Antonio mbona unabadilisha avatar sana [emoji23] kupo waziFungua pm upewe tangazo la biashara
Sasa hivi muwe mnaandika uzi kwanza ndio tuwafungulieeVibaya ivo bishosti,ata mie nina moyo,na kama ujuavyo moyo umeumbwa kupenda vitu vizurivizuri.
kumbe n ww uliyeuliza [emoji23] karibu sana pm kwangu kupo waziMimi ndie nliuliza aisee,sema hyo reply skuiona,kuna bwana mdogo mmoja aliniachafulia hali ya hewa.
Kumbe wanakulana kwelii[emoji15]
Shunie am on my way to ur PM,niachie mlango wazi kabisa mana nkifika sigongi hodi,
ntakufata ww maana wengne wanatukimbiaDaby mbona mm pm yangu ipo wazi sihusiki kabisa na hii topic
Tuma barua ya maombiNaomba niwe wa 4 dina
Haya ngoja nijikoki kwanza,nipangile fasihi na tamathali za semikumbe n ww uliyeuliza [emoji23] karibu sana pm kwangu kupo wazi
Tutafanya ivoSasa hivi muwe mnaandika uzi kwanza ndio tuwafunguliee
WasumbufuMatusi ya humu mara wanawake wa JF sijui hivi
mara wazushiwe hiki,,
bora tu wafunge PM zao
Kweli kabisaa humu kuna wanaume wajinga wajinga wengii,bora tuzifungeeMatusi ya humu mara wanawake wa JF sijui hivi
mara wazushiwe hiki,,
bora tu wafunge PM zao