RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Be a man.....unakuja kwenye thread hapa unamuomba Miss Natafuta naomba kuja PM.....mwanamke anaejitambua atakusikiliza.Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.