Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!

Nawasilisha Team Hustle pm.
Be a man.....unakuja kwenye thread hapa unamuomba Miss Natafuta naomba kuja PM.....mwanamke anaejitambua atakusikiliza.
 
hahahah juzi kwenye uzi wa nichane kuna jamaa aliuliza hivi watu humu wanaitana mababy humu ni kweli wanakulana au kufurahisha jukwaa

husna akamquote [emoji23][emoji23] akamwambia mm na Daby wangu tunakulana kiukweli ukweli labda wengine nilicheka kimya kimya husna nakubali harakati zako sana
Mimi ndie nliuliza aisee,sema hyo reply skuiona,kuna bwana mdogo mmoja aliniachafulia hali ya hewa.
Kumbe wanakulana kwelii[emoji15]

Shunie am on my way to ur PM,niachie mlango wazi kabisa mana nkifika sigongi hodi,
 
Mimi ndie nliuliza aisee,sema hyo reply skuiona,kuna bwana mdogo mmoja aliniachafulia hali ya hewa.
Kumbe wanakulana kwelii[emoji15]

Shunie am on my way to ur PM,niachie mlango wazi kabisa mana nkifika sigongi hodi,
kumbe n ww uliyeuliza [emoji23] karibu sana pm kwangu kupo wazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom