Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Labda wanaume surualihivi kuna wanaume wanafunga PM zao??? eti?🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanaume surualihivi kuna wanaume wanafunga PM zao??? eti?🙂
Kama sasa hivi umehamishia majeshi kwa Diddy94 kwa nini nisimpate kwa mfano?[emoji1]Huwezi kumpata.
BAN???......... Kwa nini nionyeshe ukweli halafu nipigwe ban??![emoji30] [emoji30] [emoji30].........Mimi naamini mods watanipa zawadi mkuu na siyo ban!
Mimi ni mjumbe tu mkuu!!....... Mjumbe huwa hauwawi!!.......mimi nimetumwa tu wala sina hatia mkuu!!We upojeeeee acha watu na mapenzi yao
Hatua mojawapo umeifanikisha, hongera.ONYESHA KAMA KWELI UNAJIAMINI.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Itakuwa ni mvulana kweliTofautisha mvulana na mwanaume mkuu na yule ni mvulana
Tatizo umehamisha majeshi, kule kumebaki bila ulinzi![emoji1][emoji1][emoji1]Wewe unajua tumepanga nini na paprika?
Huwez mpata wewe
Bora ya mtoto kuliko ile aliyoitoa.Muhusika mwenyew naona kaweka pic ya mtoto
Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
hahahahaDear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
mie je??Hata mi nishafunga yangu wanaoweza nitumia pm ni watatu tu jf nzima
Blocku tumie je??