Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!

Nawasilisha Team Hustle pm.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Ufunge PM uwe mzuri basi,,,sio Bibi huyu hapa.

NB (Sijawahi ingia PM kwa mtu kutongoza)
 
Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!

Nawasilisha Team Hustle pm.
hahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom