Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

Duh!..

Wafu fm,naona mnapata shida sana na JIDE yule komando endeleeni kufanya propaganda!...
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira

kumbe umetumwa kweli eeh? Haya majibu yako yanaonyesha una chuki binafsi na jide.pole sana.joto hasira bado inabamba sana.haichuji leo wala kesho.
 

Labda umetumwa wewe. Sikiliza TOP TEN za redio na TV zote Bongo (kasoro Clouds FM & Clouds TV), wimbo wa Joto Hasira haujatoka kwenye TOP 5, umekuwa wimbo unaopigwa mara nyingi zaidi na vyombo va habari kiasi kwamba hadi hakuwa na haja ya kutambulisha wimbo mwingine ktk albamu yake mpya.

Kwa hiyo Revocatus Kashaga kama una sababu zako za UKABILA kutokana na Jide kupambana na watu wa kabila (labda) lako, inabidi utafute jambo jingine, lakini sio hili la wimbo kuchuja. Na kama umetumwa, basi utadaiwa hela yake na aliyekutuma, coz kazi imeshakushinda.
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Huu ndo ukweli wenyewe....na hakika kama show ambayo imefanyiwa promo ya kufa mtu ni hii ya JIDE manake hata Gadner nazani ameamua kusamehe salary ya may ili ifanye covering ya promo ya JIDE pale Times FM!
 

kwenye media ipi haipigwi we PIMBI? Unasikiliza radio zote ?mi nadhan ungeuliza wadau maana kila mtu ana radio anayopenda kuisikiliza,yan wewe pimbi peke yako ndo U-GENERALIZE kuwa nyimbo yake haipigwi?mbona video yake hayapiti masaa mengi inapgwa ?audio ndo usiseme yani inapigwa mpaka imekuwa Kero sasa! Kama unasikiliza clouds fm/tv ntakubaliana nawewe.
 
dah! nimeamini JIDE unamaadui wengi kuliko unavyodhan
 
Ha ha ha
Nazan wanaosema imechuja c wataalam wa music isee
 
Wafu fm wapo kazini na propaganda zao
 
ruge aliipeleka kwa mganga cd ya wimbo huo mda mfupi baada ya kutoka
 
Watu wana maneno humu hakuna tofauti na michambo live ya facebook....
 
nyimbo ile ni sawa na ushuzi tu...
Na kama mjuavyo ushuzi haukai muda mrefu huwa unapotea...
 
nyimbo ile ni sawa na ushuzi tu...
Na kama mjuavyo ushuzi haukai muda mrefu huwa unapotea...
kweli we analyst, hii nyimbo kwisha kabisa kwenye chat, hata hiyo ya yahaya aliyotoa ndo mbovu kabisaa wala haichezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…