Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
Huu ndo ukweli wenyewe....na hakika kama show ambayo imefanyiwa promo ya kufa mtu ni hii ya JIDE manake hata Gadner nazani ameamua kusamehe salary ya may ili ifanye covering ya promo ya JIDE pale Times FM!jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira

Tatizo watu mmekariri sana, sijasema hii nyimbo siipendi au watu hawaipendi jamani?? nilichosema imepunguwa sana kupigwa kwenye media na huo ndio ukweli! jide namkubali na mimi ni mshabiki wake wa ukweli, tiketi nimeshanunua, na nitakuwa nyumbani tarehe 31! nafikiri sapoti ya ukweli ni kununua tiketi ya show yake na sikupiga makelele matupu humu kwenye socia media