Kwanini nyimbo za Alikiba huvuja kabla ya muda?

Version ya kichupa verse ya MI haipo ndo fundi kamaliza mwenyewe which is good thing kwakuwa hiyo ngoma angekuwa MI unadhani lini wangepiga show ya pamoja. ..tukiacha kulazimisha makosa hii ngoma ina ufundi mwingi sana
Wimbo mimi naona wa kawaida tu ila sio mbaya pia.. Tatizo langu naona sio ngoma ya wananchi imekaa kama amewaimbia waskilizaji fulani hivi peke yake. Sioni watu kama mabeki tatu, boda boda, maaskari magereza au vinyozi wakastuka wakisikia ngoma ya dizain hii na awa ndio marefa wakubwa. Anyway ngojea tuone rotation yake.
 
Mara mia Jike shupa ingekuwa ya kwake yote mle kiba ndio katisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…