Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
40s halafu unapenda Miziki iliyovuma 1995-2010 maana unaguswa tangu udogo wako!! [emoji15][emoji848]Mimi ni early 40's..ninapenda sana miziki mingi iliyovuma kati ya 1995-2010 iwe bongo fleva, ya kizungu, dansi ya ndani na ile ya kongo nk maana naguswa nayo toka udogo wangu..miziki ya akina Zuchu hiyo sio touching kwangu hata angeimbaje.
Angalau tukumbusha michache, ingawa nyimbo zingine ni zaidi ya miaka hiyo.Mimi ni early 40's..ninapenda sana miziki mingi iliyovuma kati ya 1995-2010 iwe bongo fleva, ya kizungu, dansi ya ndani na ile ya kongo nk maana naguswa nayo toka udogo wangu..miziki ya akina Zuchu hiyo sio touching kwangu hata angeimbaje.
Huwa zinawakumbusha enzi hizo walipokuwa na hela, wanakumbukia matanuzi yaoeid mubarak!!
Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini.....
Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani.....
Ddc mlimani park
Sikinde
Msondo ngoma n.k
Hizi ni nyimbo zenye heshima sana kwenye jamii na zinachukuliwa kama mfano wa kuigwa na vizazi vipya, sasa kwenye mabaa ya kienyeji zimeangukiaje?!!!! Unapita unasikia kitu 'Shukrani kwa Wazazi' kwa hewa mpaka unatikisa kichwa na kutamani kusimama uumalize kuusikiliza, ile unaangalia inapotoka sauti; he, ni kilabu cha kienyeji na watu wamejichokea hawana maadili yoyote.....lkn wanasikiliza maadili. Imekaaje hii?
Karibuni!
Mimi ni early 40's..ninapenda sana miziki mingi iliyovuma kati ya 1995-2010 iwe bongo fleva, ya kizungu, dansi ya ndani na ile ya kongo nk maana naguswa nayo toka udogo wangu..miziki ya akina Zuchu hiyo sio touching kwangu hata angeimbaje.
Mbona hata kwenya bar za kawaida huwa tunasikiliza sana tu! Mimi nikipita zinapigwa hizi lazima nipitie
° mtoto jack
° asha mwanasefu
° neema
° solemba
° georgina
° tupatupa
° zuwena
° ajali
° priscila
° karubandika
Haya yote ni matatizo ya dunia baba[emoji445]Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh[emoji445]
Huu ni wimbo, unaitwa kalubandika wa Marquis, kipindi kile ikijulikana International marquis, Usinione bwege baba, kwa kukubali wito wako[emoji445]Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh[emoji445]