Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa support ya huduma kwa mtoto, lakini kuna baadhi yao wanakuwa wanatamani sana washirikishwe katika utoaji wa huduma ya mtoto, Sasa kuna wale single mothers wao wameamua kuyabeba majukumu yote kwamba wao ndio baba Na wao ndio kumbuka uwezo wake kiuchumi ni mdogo huyu single mother, mtoto anavaa pear moja ya kiatu mpaka inatoboka, haisee nyie single mothers washirikisheni hao waliowapa ujauzito kwenye malezi ya watoto wenu. Msiwape watoto wenu mateso mpaka watoto wanaanza kuichukia dunia wakiwa wadogo.