LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Mungu alivyo wa ajabu, mtoto anakuwa na hamu na mzazi asiye muona.Daa mkuu hio mada imenichoma sana Mimi Nina mwanangu sijamuona miaka 7 kila nikijaribu kutafuta mawasiliano na mtoto sipati mama Yake ameniblok na ni stori ndefu sana na mtu aliyesababisha yote ni mwanaume mwenzangu lakini kwenye hii dunia mungu huwa anakupa azabu kwa matendo yako
Kiu yake ni kubwa, usijali mtoto atakiutafuta tu hata kama ni miaka irishini ijayo.