Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

Kunakitu napenda sana kutolea mfano hapa.
Mimi na mke wangu tuna jumla ya watoto 8.
Kabla sijamuoa nilikua nina watoto 5 na kila mtoto na mama yake na aliwakuta ninaishi nao.
Baada ya hapo nayeye akaongeza watoto 3 ndipo jumla ikawa watoto 8 na wote wanaishi under the same roof.
Mimi ndie mwanaume na ndio ninae weka sheria na kila anae ishi nyumbani kwangu anazifuata kikamilifu.
Mke wangu ni mtii kwangu nami nina mpenda.
Watoto wanasoma na wanaishi maisha mazuri.
Kwaleo naomba niishie hapa...😊
 
Umesema ukweli kabisa! Kuna mama mmoja mpumbavu alimkubalia mume wake amlete mtoto aliezaa nje wa kiume kumbe alikuwa na lake jambo! Akaona atakuja kugawana urithi na watoto wake akamwekea sumu akiwa darasa la sita akafariki!
 
Shida ya Hawa Dada zetu wakipenda Huwa wamependa kweli ....matokeo ni haya
 
Hujawahi kukutana na wanawake wapumbavu, tena akiona humsikilizi anakuondoa na wewe!
 
Mzee ulikuwa vizuri,watoto watano kila mmoja na mama yake aisee.
 
Tatizo mnapokuwa responsible mnataka tena muwakule mama zao.
Suala la kula Na kuliwa ndio udhaifu wa mwanadamu...Na shida ya mwanamke ukimfanyia wema wengi wao hutaka kulipa huo wema kwa kutoa uchi....
 
Mzee ulikuwa vizuri,watoto watano kila mmoja na mama yake aisee.
Sikua vizuri sana mkuu, ni aina ya maisha nilio yaishi kabla ndio yalipelekea matokeo hayo mkuu.
Najua sio mfano mzuri katika jamii na kwawatoto wangu, lakini badala yake mimi napaswa kuwalea vile ilivyo katika njia njema na zinazo mpendeza Mungu.
Nimekua mwalimu na rafiki wao mkubwa ili wasije yarudia makosa kama yangu mimi.
 
Umesema ukweli kabisa! Kuna mama mmoja mpumbavu alimkubalia mume wake amlete mtoto aliezaa nje wa kiume kumbe alikuwa na lake jambo! Akaona atakuja kugawana urithi na watoto wake akamwekea sumu akiwa darasa la sita akafariki!
Ona sasa...lazima kuna sababu.na Maisha yana mengi watu hawayasemi mnaishsia kuhukumu
 
Wengi watoto wanaoteseka ni wale walizaa na Wanaume wawatu, Utakuta Binti anatembea na Mume wa mtu kwa tamaa za vitu utakuta anapangiwa sehemu ya kuishi na kutokewa out Hotelini, Sasa walivyo wajinga wanabeba mimba ya Mme wa mtu na ukute huyo Mume ana watoto zaid ya 10 unafikili ukisha zaa tu anakata mawasiliano kwasababu yeye hana shida na watoto anao Nyumbani na utakuta kila mkoa kaacha mtoto, Binti akizaa na kijana ambae hana mtoto kumtelekeza mtoto ni ngumu kwanza mtoto atakua naenda kwa Bibi kucheza kila akifunga shule tofauti Binti akizaa na Mume wa mtu mtoto awezi kwenda kwa Bibi kwanza mahusiano hayajulikani popote, Ndiyo Maana Single mother wengi wanaingia kwenye Mahusiano kwaajili ya kulelelewa mtoto tu kwasababu mtoto anakua hajulikani kwao upande wa Mwanaume aliyezaa nae.
 
Daa mkuu hio mada imenichoma sana Mimi Nina mwanangu sijamuona miaka 7 kila nikijaribu kutafuta mawasiliano na mtoto sipati mama Yake ameniblok na ni stori ndefu sana na mtu aliyesababisha yote ni mwanaume mwenzangu lakini kwenye hii dunia mungu huwa anakupa azabu kwa matendo yako
 
S
Sio kweli asilimia kubwa mwanamke ndio anakuwa chanzo hakuna mwanaume atamuacha mwanae ateseke
 
Kuna mmoja ni jirani, wametengana na mwanaume na kabaki na watoto watatu.
Mwanaume anapeleka chakula, na mahitaji mengine, mwanamke ana mwaga.
Pesa anapeleka na kuacha duka jirani, mwanamke anasema zirudishwe zilikotoka.
Anafika hatua ya kupeleka pesa serikali za mtaa!

Hana biashara ya maana, zaidi ni mwendo wa kutombeka ili atunze watoto.
Na maombi ya kwa mwamposa, na Mwingira hakosi 😀 😀
Hataki pesa za kutoka kwa baba wa watoto wake, ila yuko tayari kupokea pesa toka kwa baba za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…