Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

Mungu alivyo wa ajabu, mtoto anakuwa na hamu na mzazi asiye muona.
Kiu yake ni kubwa, usijali mtoto atakiutafuta tu hata kama ni miaka irishini ijayo.
 
Mzazi mwenzie kama ana akili si amchukue mtoto akamnunulie kila kitu alafu amridishe kwa mama yake
 
Kumtunza mtoto wako ni wajibu wako hata akiwa wapi.
Sheria ya Mtoto Na. 21 ya 2009 imelitambua hili.
Kwa mujibu wa sheria hii, mzazi/mlezi au watu wengine wanaomlea mtoto watahahakisha mtoto anapata huduma za msingi kama chakula, malazi, mavazi, huduma za afya ikiwa ni pamoja na chanjo, elimu na ushauri, uhuru wa kucheza na kuburudika.

Sheria za mitaani na mtandaoni, zinaonyesha wajibu wa kulea mtoto ni wa baba pekee.Yaani baba ndio ana wajibu wa kusomesha, na kutoa matunzo kwa mama!! (Sheria hizi za mitandaoni ndio zinazo waangusha wengi mahakamani)
 
Kwa hiyo akiwa kwa mama yake wewe unaacha kuwa mzazi. Acha upuuzi basi,!
 
Lakini kuna baadhi yao hao wanaume wanapenda kutoa huduma lakini hawapewi nafasi
Kupewa nafasi unamaanisha nini hasa?? Sijaelewa kabisa... Unataka kutafutwa tafutwa kuwa viatu vya mtoto vimeisha, kaptula zinabana... ni wakati wa ada... Au kushirikishwa unatakaje na huwa mnatoa masharti ya kulala na hao single maza ili utelekeze majukumu yako..... Puuuuumbakaaaaa....


Yule ni mwanao.... Mhudumie wakati wowote unapoona ni sahihi kwako... Kwanini unataka utafutwe tafutwe na wewe ni mtu mzima mzee mwenye akili timamu?
 
Sidhani
 
Mwoe umsaidie!
 
Dada soma nyuzi zilizopita, Kuna Wanaume wanahitaji kutoa huduma lkn Mwanamke hataki kutoa ushirikiano. Nina ushahidi kwa ndg yangu, akipelekewa pesa anazitupa papo hapo; na wala hataki mtoto amuone baba yake. Sasa unataka Mwanaume afanye nn? Weka hisia pembeni, tafakari hii scenario. Si kila Mwanaume ni 'mbwa' kama huwa mnavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…