DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,

Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.

Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho kina kera sana.

Hawa ndiyo chanzo cha migogoro ya ardhi na rushwa kukithirii kwani ndiyo wanatangulizwa mbele kuomba fedha ja watumishi wa ardhi kitu kinachhoosababisha pia kuongezeka kwa gharama za upimaji.

Kuna dada yupo pale anajitolea upande wa mipango miji anaitwa Sophia kwa kweli ni shida anasauti kuliko Afisa Ardhi Mteule wa Manispaa yaani yeye ndiyo kiunganishi cha rushwa kwa vitengo vyote vya ardhi sidhani kama ni sawa ikiwa wanafaa basi wajilliwe na Mkurugenzi anafurahia tu kwa kuwa anapata mgao wale.

Tunaomba mamlaka husika hasa waziri husika atusaidie kuwaondoa kwani kupitia kwao kazi za urasmishaji na upimaji zinakuwa ngumu na ghali mno na migogoro chungu nzima


Asanteni.
 
Back
Top Bottom