Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Aisee madai mbona kama yamekua mengi sana..
 
Zamani nilidhani neno "Msenge" halisemwi hadharani, kumbe hata bungeni linatamkwa....
Ni neo la kawaida sana mkuu. Hatutaki kumumunya maneno kwa kuita koleo kijiko kikubwa!
 
Walichimbwa mkwara na wakubwa wa dunia wakaona isiwe tabu wacha kila mmoja apambane na Hali yake
 
Mashoga na wasagaji ama ?
Kama ni vyote basi nchi itatikisika
 
Mashoga na wasagaji ama ?
Kama ni vyote basi nchi itatikisika
Wote lazima wapimwe na majibu yatolewe hadharani mkuu. Ushoga na usagaji ni kinyume cha sheria za nchi yetu.
 
Mambo mengine yaache kama yalivyo , au ongelea huku chini chini ukipanda step ndo utajua hujui
Mkuu kwa hiyo tuache mambo yaendelee kuwa ovyo ovyo kwa kuogopa kupotezwa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Usiogope. Kapime tujue kama uliingiliwa mara ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…