Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Ila kuna mambo ukiyafikiria sana unaishia tu KUCHEKA kama "taahira"[emoji1787]

Hivi faragha kikatiba haihusishi kuheshimu MIILI ya WATU ,HESHIMA YAKE NA USIRI WAKE ?!!!

Tanzania itakuwa ya kwanza duniani kuwapima watu kwa nguvu huo "usenge" [emoji1787][emoji1787]

Isitoshe tu kwa madaktari kufanya vipimo hivyo pale panapokuwa na "UNAJISI" ambako ni kinyume cha sheria......leo hii yatokee "mababa" yashadadie huku mitaani watu wapimwe USENGE ?!!

Kama huku mitaani itakuwa ni "laughing stock" leo hii iwe kwa WAHESHIMIWA WABUNGE?!!!

Yaani kabisa waheshimiwa hao wapandishwe vitandani kizamu... watoa huduma ya afya wetu wavae mipira ya mikono(gloves) ,wanyunyizie vilainishi katika "madole yao... yang'ae mng'ao wa KY-JELLY" halafu ( DIGITAL RECTAL EXAMINATION-DRE) ifanyike kisha majibu tuletewe wananchi kuwa "fulani na fulani" ni MADHEHA ,"VYATOKA" "BISCUIT LAINI YA KUMEZA TU" "MCHICHA MWIBA" "MCHELEMCHELE" "WALI NAZI" "ASALI-MAZIWA NA PARACHICHI" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


HEBU TUWENI MAKINI NA MAMBO MAKINI JAMANI

#SIEMPREJMT[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machoziiii.
Waweke wazi tujue hapaaa.
 
Ushoga sio utamaduni wa kitanzania na ikibainika una tabia hizo jamii nzima itakudharau na kukutenga hivyo inabidi tuwe makini pale tunapowatuhumu watu kuwa na tabia hizo.
Mbna kuna raia order ilitoka mahamaka waka kamatwa na kupimwa kwa nguvu? Hizo tuhuma ni ndogo?

Wao wabunge watoe majibu wazi ya vipimo vyao, acheni ubaguzi hapaa.

Tunataka matokeo ya vipimoooo.
 
Hata ukiwajua itakusaidia ama kukuongezea nini mkuu!? Hangaikia na maswala yenye tija kiongozi...

Kuna maswala mengi sana ya msingi...kuliko kujadili mikund.u tu! Kwanza hii ni kama laana fulani...

Sijui hata kwanini nimefungua hii thread!!! Nahisi harufu ya mavi! Tu khaa!
Wao wenyewe ndo kutwaa kuongelea na na kutaja baadhi ya watu wakamatwe kupima, na mahakama ikatoa order hiyo.

Why wao majibu yasiletwe wazi?
 
Mkuu hili jambo lilianzishwa bungeni na wabunge wenyewe bila kushurutishwa na mtu yeyote na walikubaliana wapimane kabla ya kuendelea na shughuli nyingine za bunge. Kwa kuwa wabunge ni kioo cha jamii, mimi sioni tatizo kwa kuwa majawabu yakitolewa hadharani yatatupa mwanga kabla uchaguzi wa 2025 haujawadia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana yake.
 
Tanzania na maadili yake.
Wabunge,madiwani, madaktari, walimu wote wapimwe.
Woteee waanze kupimwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nataka sanaa kwa watu wa bank, huko ndo natakaa zoezi lianze.
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuwa wa kwanza duniani kutoheshimu faragha za watu......
Bashite alipotaja hadharani wanaume waliozaa nje ya ndoa (na wengine ni waume za watu) mbona hakuzingatia hiyo faragha? Sheria ni msumeno; inakata kote kote.
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuwa wa kwanza duniani kutoheshimu faragha za watu......
Wameanza wao wabunge, hivi kutaja baadhi ya watu wapimwe na order kutoka, wahusika waka kamatwa kupimwa kwa nguvu, hii ni halali??

Na wao wapimwe tujue km kweli wako serious.
Hatutaki ubaguzi hapaa.
 
Bashite alipotaja hadharani wanaume waliozaa nje ya ndoa (na wengine ni waume za watu) mbona hakuzingatia hiyo faragha? Sheria ni msumeno; inakata kote kote.
Alifanya yeye kwa akili zake....mbona hakuendelea??!!

Ulimsikia mh.Waziri mkuu na wabunge walivyokuwa kinyume naye?[emoji1787]
 
Tanzania na maadili yake.
Wabunge,madiwani, madaktari, walimu wote wapimwe.
Na wanajeshi wote wapimwe mapuru.

Tuanze na GESHI RA PORISHI kwa akina AFANDE RAMA, kule tutapata mabwabwa ya kutosha.
 
Kote wako...tena wengine ndio haohao wanaowapigia kelele "madheha" walio bayana ....tunajifanya wanafiki tu.....
Niliona mbunge Fulani akilalama hadi koo linakaukaa, akati file lake tunalo, nkabaki kujisemea huu unafiki afu unafiki tenaa.

Mtu anasema watu Fulani wakamatwe akati yeye ndo anachezea nyota zao ili mambo yake yaendee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najioneagaaa tabuu tyuuh.
 
Back
Top Bottom