Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Vituko gani, ushoga no Tanzania, hata Mungu kakataza. Hakuna Duniani mwenye mamlaka ya kubadili amri aliyoweka Mungu.Hii nchi ina vituko sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituko gani, ushoga no Tanzania, hata Mungu kakataza. Hakuna Duniani mwenye mamlaka ya kubadili amri aliyoweka Mungu.Hii nchi ina vituko sana
Ila kuna mambo ukiyafikiria sana unaishia tu KUCHEKA kama "taahira"[emoji1787]
Hivi faragha kikatiba haihusishi kuheshimu MIILI ya WATU ,HESHIMA YAKE NA USIRI WAKE ?!!!
Tanzania itakuwa ya kwanza duniani kuwapima watu kwa nguvu huo "usenge" [emoji1787][emoji1787]
Isitoshe tu kwa madaktari kufanya vipimo hivyo pale panapokuwa na "UNAJISI" ambako ni kinyume cha sheria......leo hii yatokee "mababa" yashadadie huku mitaani watu wapimwe USENGE ?!!
Kama huku mitaani itakuwa ni "laughing stock" leo hii iwe kwa WAHESHIMIWA WABUNGE?!!!
Yaani kabisa waheshimiwa hao wapandishwe vitandani kizamu... watoa huduma ya afya wetu wavae mipira ya mikono(gloves) ,wanyunyizie vilainishi katika "madole yao... yang'ae mng'ao wa KY-JELLY" halafu ( DIGITAL RECTAL EXAMINATION-DRE) ifanyike kisha majibu tuletewe wananchi kuwa "fulani na fulani" ni MADHEHA ,"VYATOKA" "BISCUIT LAINI YA KUMEZA TU" "MCHICHA MWIBA" "MCHELEMCHELE" "WALI NAZI" "ASALI-MAZIWA NA PARACHICHI" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HEBU TUWENI MAKINI NA MAMBO MAKINI JAMANI
#SIEMPREJMT[emoji120]
Kwa nini ni comedymkuu,sio.Kama tukiruhusu matendo haya ya kishetani kuendelea,wote tutahusika Mungu atakapo shusha hasira yake kwa nchi yetu kama alivyofanya Sodoma na Gomora.Hili kwa hiyo sio swala la mtu binafsi kama mnavyo-dhani,it concerns all of us.So the government must take action,and quickly.I hope hii ni comedy
Acheni upofu na ufirauni. Kama tukiruhusu matendo haya ya kishetani kuendelea, wote tutahusika Mungu atakapo shusha hasira yake kwa nchi yetu kama alivyofanya Sodoma na Gomora. Hili kwa hiyo sio swala la mtu binafsi kama mnavyo-dhani, it concerns all of us. So the government must take action, and quickly.Hayo ni Maisha yao binafsi, kwani wanafanya ushoga ndani ya Bunge?
Lakini huwezi kulitamka ukiwa katika mazingira ya kanisani au hata nyumbani.Liko ndani ya kamusi ya BAKITA...[emoji1787]
Hata msikitini linatamkwa.....si tusi!Lakini huwezi kulitamka ukiwa katika mazingira ya kanisani au hata nyumbani.
Baba yako amenitisha anasema vidole vya dokta ni vikubwa sana vimemuumiza na anakaribia kutokwa damu unataka nami niwe zwazwa kama baba yako mzee Joseph?!!!!Usiogope. Kapime tujue kama uliingiliwa mara ngapi
Mihemko ikizidi huwa mtu anaongea vitu vya ovyoIla kuna mambo ukiyafikiria sana unaishia tu KUCHEKA kama "taahira"[emoji1787]
Hivi faragha kikatiba haihusishi kuheshimu MIILI ya WATU ,HESHIMA YAKE NA USIRI WAKE ?!!!
Tanzania itakuwa ya kwanza duniani kuwapima watu kwa nguvu huo "usenge" [emoji1787][emoji1787]
Isitoshe tu kwa madaktari kufanya vipimo hivyo pale panapokuwa na "UNAJISI" ambako ni kinyume cha sheria......leo hii yatokee "mababa" yashadadie huku mitaani watu wapimwe USENGE ?!!
Kama huku mitaani itakuwa ni "laughing stock" leo hii iwe kwa WAHESHIMIWA WABUNGE?!!!
Yaani kabisa waheshimiwa hao wapandishwe vitandani kizamu... watoa huduma ya afya wetu wavae mipira ya mikono(gloves) ,wanyunyizie vilainishi katika "madole yao... yang'ae mng'ao wa KY-JELLY" halafu ( DIGITAL RECTAL EXAMINATION-DRE) ifanyike kisha majibu tuletewe wananchi kuwa "fulani na fulani" ni MADHEHA ,"VYATOKA" "BISCUIT LAINI YA KUMEZA TU" "MCHICHA MWIBA" "MCHELEMCHELE" "WALI NAZI" "ASALI-MAZIWA NA PARACHICHI" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HEBU TUWENI MAKINI NA MAMBO MAKINI JAMANI
#SIEMPREJMT[emoji120]
Sasa mkuu utathibitisha vipi kama kweli wamepimwa billa wewe kushuhudia KWA macho yako?Mkuu hili jambo liliibuliwa na wabunge wenyewe na walisema wapo serious wanataka kuonesha mfano kwa wapiga kura wao. Kwanini wewe unataka kuwakatisha tamaa wasitoea majawabu na orodha yao hadharani? Hili jambo sio la mzaha. Ni lazima wapigakura tujulishwe kuhusu afya za wabunge wetu.
Sijakataa wewe KWA akili tu ya kawaida unahisi hilo jambo linawezekana wakalifanya billa kuweka mihemko tuwe honest unaweza hilo jambo linawezekana?Mkuu sikiliza hotuba ya bunge hapo juu. Walikubaliana siku iliyofuata wakapimwe wote, wake kwa waume, bila shuruti.
Kwahiyo wakiwekwa wazi ndo ushoga utaisha?Yes. Zoezi hili ni vema likahusisha makundi yote katika jamii.
Mimi mtanzania wa kawaida nitathibitisha vipi kama kweli wamepimwa au watatuletea makaratasi ya madaktari na vipi kama ni michezo imetungwa? Wewe utathibitisha vipi kama wabungwe wameingiziwa vidole na kupimwa kweli? Hivi mkuu unadhani ni kitu rahisi hivyo?😂😂Linawezekan kwa sababu vipimo vinafanyika bure bila malipo yoyote. Watakwama wapi?