Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

Na hapa jf wapimwe. Liwe kundi special na list iwekwe hapa hapa.
Ha haaa ndo tutawajua wanafiki wanaokomaa kupinga Kumbe nao marinda hawana[emoji3][emoji3]
Tobaaaaaa JF mbna wengi walipoteza ubingwaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usione kelele hizi wengi wanajistukia tyuuh.
 
Ila kuna mambo ukiyafikiria sana unaishia tu KUCHEKA kama "taahira"[emoji1787]

Hivi faragha kikatiba haihusishi kuheshimu MIILI ya WATU ,HESHIMA YAKE NA USIRI WAKE ?!!!

Tanzania itakuwa ya kwanza duniani kuwapima watu kwa nguvu huo "usenge" [emoji1787][emoji1787]

Isitoshe tu kwa madaktari kufanya vipimo hivyo pale panapokuwa na "UNAJISI" ambako ni kinyume cha sheria......leo hii yatokee "mababa" yashadadie huku mitaani watu wapimwe USENGE ?!!

Kama huku mitaani itakuwa ni "laughing stock" leo hii iwe kwa WAHESHIMIWA WABUNGE?!!!

Yaani kabisa waheshimiwa hao wapandishwe vitandani kizamu... watoa huduma ya afya wetu wavae mipira ya mikono(gloves) ,wanyunyizie vilainishi katika "madole yao... yang'ae mng'ao wa KY-JELLY" halafu ( DIGITAL RECTAL EXAMINATION-DRE) ifanyike kisha majibu tuletewe wananchi kuwa "fulani na fulani" ni MADHEHA ,"VYATOKA" "BISCUIT LAINI YA KUMEZA TU" "MCHICHA MWIBA" "MCHELEMCHELE" "WALI NAZI" "ASALI-MAZIWA NA PARACHICHI" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


HEBU TUWENI MAKINI NA MAMBO MAKINI JAMANI

#SIEMPREJMT[emoji120]
[emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapa jf wapimwe. Liwe kundi special na list iwekwe hapa hapa.
Ha haaa ndo tutawajua wanafiki wanaokomaa kupinga Kumbe nao marinda hawana😀😀
Kweli kabisa. Ukiona mwanaJF yeyote anapinga upimwaji, huyo ni wa kumtilia mashaka 😀 😀 😀
 
Hata hivyo hao Wabunge wakiwa machoko,itatuongezea nini?
Itatuongezea aibu ya kitaifa kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi hawapaswi kuwa hivyo mkuu au wewe unaona sawa tu?
 
Huo utakuwa ni uonevu wangepima na Mabasha pia yaani mabwana wa hao Mabwabwa . Wote waondolewe. Jee ni wale Iron ladies wanaowapanda wenzao?
Mkuu unaambiwa kwamba hii ni vita ya mmasai na mkurya. Kila jiwe lazima lipinduliwe. Hakuna mtu atakayebaki bila kupimwa.
 
Back
Top Bottom