tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #161
Mkuu mbona unaji defend? Inabidi tukukamate upimwe kwa nguvu. Uchoku ni dhambi. 😀 😀Kuwadhalilisha tu....ni "trivial tu"....
Hivi kweli mtu mwenye kujitambua anahitaji kujua mwingine anautumiaje mwili wake haswa katika starehe za mwili wake huyo mwingine?!!! [emoji849][emoji1787][emoji1787]