Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa kumempa nguvu zaidi ya kutofuatwa na kuingiliwa kwenye biashara zake. Tujifunze nini kutoka kwa huyu bwana zaidi sana wengi ambao tupo kwenye biashara zinazohitaji watu wote badala ya kuwa na upande ambao hata wateja wengine hawawezi kukuunga mkono na hivyo kupoteza.
Binafsi sikutegemea kuna TV itafungiwa kwa kujitoa kwake kwenye siasa kwa 100%, viongozi wa siasa hawawezi kumuombea msamaha au ndo hivyo ni lazima anyooshwe.
Binafsi sikutegemea kuna TV itafungiwa kwa kujitoa kwake kwenye siasa kwa 100%, viongozi wa siasa hawawezi kumuombea msamaha au ndo hivyo ni lazima anyooshwe.