Kwanini P Funk Majani mmiliki wa Bongo records hajihusishi sana na siasa?

Kwanini P Funk Majani mmiliki wa Bongo records hajihusishi sana na siasa?

Kwani Wasafi TV kujihusisha na siasa za kumsapoti Magufuli ndiyo ilikuwa tiketi ya kukiuka taratibu walizopewa na TCRA?

Badala ya kupongeza kuwa Sheria imefuatwa bila kuangalia mrengo wa kisiasa wewe unaona Kama Wasafi TV wameonewa?

Siku ya lile kongamano lao aliposhuka tu Gigy Money wakaanza kuomba msamaha palepale wakiiomba TCRA.

Maanake walitambua kosa.

Kampeni Ni kampeni, ukikosea unadhibiwa kwa misingi ya Sheria.
Wewe ukimuangalia Gigy alikuwa uchi, mbona watu wanavaa skin tight wasikamatwe na kuambiwa wako uchi, wanasubiri mtu akipanda jukwaani ndio aambiwe yuko uchi,, umesoma sehem ukaona nimeandika wasafi wameonewa? waambie maana ww ni mmoja wao wakamatwe wanaooga na chupi ufukweni au kwenye swimming pool maana wako uchi kote kuna sheria.
 
Walioko ufukweni na swimming pool wanarushwa na vyombo vya habari vilivyo chini ya TCRA?
 
sasa we unataka kila mtu ajihusishe na siasa? mbn hujauliza hawa wafuatao

Backhresa

John Boko

Mwakasege

Pastor david mbaga

Maxence melo

mimi hapa

Mwakinyo

Ontario

king crazy Gk

lady jaydee

jini kabula

Smon Msuva

mbona hao hujawaulizia?
Eti"Ontario"
 
😆🤣🤣😁😁😅😅😅
 
Nilitaka kuuliza swali kama hili umeniwahi nashukuru umenisaidia.
ongezea na swali lingine hili.
Mbona na yeye mtoa mada hajajiingiza kwenye siasa?
 
Huyu P Frank Majani nimemuona kati ya watu smart sana, walianzisha mziki wa Bongo na ana miliki studio ya Bongo records, cha ajabu huyu bwana hajawahi onekana kwenye majukwaa ya kisiasa, je ameona mbali au ana maono ambayo ni zaidi ya siasa, je kumudu biashara zake na kutohusisha na siasa kumempa nguvu zaidi ya kutofuatwa na kuingiliwa kwenye biashara zake. Tujifunze nini kutoka kwa huyu bwana zaidi sana wengi ambao tupo kwenye biashara zinazohitaji watu wote badala ya kuwa na upande ambao hata wateja wengine hawawezi kukuunga mkono na hivyo kupoteza.

Binafsi sikutegemea kuna TV itafungiwa kwa kujitoa kwake kwenye siasa kwa 100%, viongozi wa siasa hawawezi kumuombea msamaha au ndo hivyo ni lazima anyooshwe.
Mbona wewe hujajingiza kwwnye siasa

Ova
 
sasa we unataka kila mtu ajihusishe na siasa? mbn hujauliza hawa wafuatao

Backhresa

John Boko

Mwakasege

Pastor david mbaga

Maxence melo

mimi hapa

Mwakinyo

Ontario

king crazy Gk

lady jaydee

jini kabula

Smon Msuva

mbona hao hujawaulizia?
Mapank
 
Back
Top Bottom