NILIKUWA HUKO KABLA SIJAACHANA NA HIYO KITU YA 'KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE' NAJUA UGUMU WA MIOYO YA WATU WALIOKOLEWA NA MASANAMU NA ULEVI NA UZINZI WA KIFICHO KIFICHO...SI RAHISI KUKUSAIDIA ILA NIKUHAKIKISHIE TU KUWA MBINGUNI HAKUNA MALKIA. YESU WANGU HANA KIMADA, SURIA WALA MCHUMBA WA KUITWA MALKIA PALE MBINGUNI...Atleast ungenijibu maswali hata mawili niliyokuuliza...?
Bure kabisa!!!'
Toa porojo ..NILIKUWA HUKO KABLA SIJAACHANA NA HIYO KITU YA 'KUNYWA KIDOGO LAKINI USILEWE' NAJUA UGUMU WA MIOYO YA WATU WALIOKOLEWA NA MASANAMU NA ULEVI NA UZINZI WA KIFICHO KIFICHO...SI RAHISI KUKUSAIDIA ILA NIKUHAKIKISHIE TU KUWA MBINGUNI HAKUNA MALKIA. YESU WANGU HANA KIMADA, SURIA WALA MCHUMBA WA KUITWA MALKIA PALE MBINGUNI...
SIJAONA SWALI, ILA UGUMU WAKO WA KUELEWA TU!!!! UKITOKA HAPA UKAKIINAMIE KINYAGO HAPO PEMBENI NA KUKIBUSU...NALALAToa porojo ..
Jibu maswali niliyokuuliza ...Hata moja basi...
Mtakaowaondolea dhambi watakua wameondolewa na mtakaowafungia watakua wamefungiwa .Ila jaman hivi inawezekanaje mtu badala ya kuungama kwa mungu akaungame kwa mwanadamu mwenzake?
hao wanaaitwa jamaa. kuna tofauti kubwa. cheki luka 21:16 inavyotofautisha.Jinga kabisa...??
Sasa fuatana na mimi
Maneno kaka na dada ktk utamaduni wa Wayahudi yalimaanisha ndugu yoyote wa karibu..(Rejea Mwa 13:8; 29:11-15), Mtu wa kabila moja (Hes 16:10) Hata Myahudi mwenzie (Kumb 15:12)
Hivyo Kaka na dada wa Yesu wanaotajwa ktk Injili ni wale ambao sisi tungewaita watoto wa Baba mdogo, mkubwa nk nk...
Na pia, kama Maria alikuwa na watoto wengine, kwanini Yesu hakumkabidhi Maria kwa hao na badala yake alimkabidhi kwa mwanafunzi wake(Yn 19:25-27)
siku ukiniambia nikwanini kitabu cha ufunuo na Daniel vimeandikwa kwa mtindo wa apocalypto/ apokalifa ntakuona wamaana sana!!HAUWEZI UKAONA KAMA NINA AKILI TIMAMU KWA KUWA HATA CHUPA YA BIA NA SIGARA ZOTE ZINA ONYO LA 'HATARI' ILA SIDHANI KAMA USHAWAHI KUMSAIDIA MTUMWA MMOJAWAPO WA VATICANI AACHANE NA HIYO KITU, BY THE WAY KITABU CHA UFUNUO NI MAONO, NA TAFSIRI YA MAONO MARA ZOTE SI YA MOJA KWA MOJA, KUONA MWANAMKE ANATAJWA HAINA MAANA KWAMBA NI MALKIA WENU UNAYEMSEMA, NYOTA 12 NI FUMBO AMBALO LAWEZA KUWA KABILA 12 ZA ISRAELI AU MITUME 12, MWANAMKE KWA TAFSIRI NYEPESI NI KANISA. MUNGU HANA MKE KUSEMA KUWA TUTAMKUTA NA MALKIA TENA HUKO MBINGUNI...BIBI ARUSI ALIYETAJWA KWENYE UFUNUO SIYE MALKIA WENU NAPO NI KANISA...YAANI WALIOMKIRI KRISTO NA KUSHINDA DHAMBI!!!! ENDELEA KUIPIGANIA VATICAN KWA KUSOMA MISHALE/MISALE YA WAAMINI
Licha ya kutokujua ulichoandika lakini pia umeandika vibaya sijawai ona !!Labda niwakumbushe kidogo japo mtajaa jaziba katika watu wanao tuhuhumiwa kumuuwa yesu nimakundi mawili togauti kundi lakwanza niwatu wenyeitikadi za kisabato watu washelia hawajamaa walimulaumu yesu kwakuvunja shelia mpaka wakamfikisha kizimbani ... Nakundi lapili ni kathoriki kipindihicho likiwa kama fola la kiloma lililo muhukumu yesu lehii haya haya makundi bila aibu yanakuka kuhubili habali za yesu tena yakijifanya menyewe ndiyo yanayojua habali za yesu kuliko wengine..sasa kama mngelijua habali za yesu kuliko wengine basi minge muuwa.. Ndomaana yesu anasema enyiwanafiki munaopiga langi makabuli yazamani nahuku nyie hao hao ndio mio wauwa acheni unafiki..aliwajua tokamwanzo kuwa watakao muuwa yee ndio watajifanya wanamhubili
JamiiForums Mimi "ntarara na nyie mbere" ( in mkulu's voice) kuwepo na vigezo madhubuti hata kama in online interview kuhakikisha kila anayejiunga Jf ana kitu chochote kichwani sio kwa huu upoyoyo ninaouona hapa!!Katika somo hilo la isaya lina makundi matatu anawambia jikusanyeni.. Kundi la pili anasema karibia ninyi wa mataifa miliookoka. . Analikalibisha kundi lamataifa lililookoka.. .. .. Kundi latatu bibilia inasema hwana uelewa wachukuao mti wa sanamu yao ya kuchonga wamuombao mungu wao asie weza kuokoa ...
. Nazani nimeeleweka vizuli
Yapomengi yaliyopotoshwa nahili kanisa kama maswala ya bikila kupaa mbinguni huu niuongo uliokomaa.. kunywa usilewe niuongo ..kibya zaidi kwenyehili kanisa bikla malia ametukuka kumzidi yesu yani nijambo la kustajabu nakusikitika kabisa.. Wakati bibilia nzima agano lakale na agano jipya yote yanamzungumuzia yesu..lkn kunawatu wamemuibua maria nakupoka mamlaka yayesu nakuufinya utawala wayesu ndani yakanisa hili
Kasome tamaduni za Kiyahudi kisha njoo jadiliana na mimi...hao wanaaitwa jamaa. kuna tofauti kubwa. cheki luka 21:16 inavyotofautisha.
16 Wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.
hapo wamezungumzwa ndugu, jamaa na marafiki. vitu tofauti. ndugu walizaliwa pamoja.
unajua hata wanafunzi wa Yesu hawakuwa ndugu zake?
yohana 2:12
12 Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache
hayo maandiko ya Yohana 19 yanasema hivi.
26 Yesu alipomwona mama yake na yule mwanafunzi aliyempenda wamesimama karibu, alimwambia mama yake, “Mama, huyo ni mwanao!” 27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Na huyo ni mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Yesu nyumbani kwake.
zingatia hizo funga na fungua semi. hapo inaonekana Yesu alitaka mama yake apate malezi bora kutoka kwa Petro, hasa ya kiroho ukizingatia kuwa ndugu zake wengi hawakumuamini. yohana 7:5.
5 Maana hata nduguze hawakumwamini.
unasemaje kuhusu haya maandiko? utabisha kuwa Maaria na Yusufu hawajawahi kufanya tendo la ndoa?. mathayo 1:25
unasemaje kuhusu haya maandiko? utabisha kuwa Maaria na Yusufu hawajawahi kufanya tendo la ndoa?. mathayo 1:25
Dogo tarehe 9 sio mbali, zingatia maelekezo ya joining instructions!!Watumishi wote wakiloho wanaofanya mambo sawasawa nabibilia wanahaki ya kibibilia kuwaondolea watu zambi lkn si hawa walevi wazinzi eti wanatoa zambi hakuna kitukacho muhana zambi na mtu mwenyezambi humutenga mbali mamungu..
Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?Kasome tamaduni za Kiyahudi kisha njoo jadiliana na mimi...
Au kama Kigiriki kinapanda kasome huo mstari mstari uone ndugu wanaoongelewa hapo ni kina nani..?
Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Yosefu hakumjua Maria na wala hakuna mahala kunasemekana walikutana kimwili...Hizo ni tafsiri potofu za maandiko...Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?
Lirugia ni kitu gani wewe. ?? Unaposema hatusomi maandiko unamaanusha nini....??? Masomo matatu kwenye ibada ni hekaya za abunuasi sio...???Nkobe
Tatizo hapa ni liturugia, sisi wakatoloki hatusomi maandiko tunasomewa liturugia hivyo hata Biblia hatuijui.
Wewe ulitakaje..??? Hivi unajua maana ys adhimisho la Ekaristi Takatifu ...? Unadhani kanisa katoliki tunaenda kuimba mapambio na kutoana mapepo hewa ..??Kwa mfano ibada zetu zimeandaliwa padri anakuja soma hivyo maombi ya tangia mwaka jana ni yaleyale hiyo ndo liturugia.
Kwanini Mungu alimchagua Yeye na asimchague mwanamke mwingine...???Bikra Maria ni binadamu kama sisi alitumika kumzaa Yesu.
Wapi biblia inasema jiombee nafsi yako mwenyewe....?? Unapomwambia rafiki yako akuombee unakuwa unamaanisha nini..?Lakini eti tunamwomba atiombeee biblia inasema jiombee nafsi yako.
Unaimba wewe na nani...?Tunaimba mtakatifu...... utuombee hizo ni nyimbo tu siyo maombi.
Nimekuambia tafuta Biblia ya Kigiriki uone tofauti....Maria na Yusufu walifanya tendo la ndoa, hawakufanya?
kutoa vitabu na kupinga kuombewa na Maria yote yalianzishwa na Luther. kwanini unasema la Maria linatoka nje ya mada na lakupunguza vitabu liwe ndani ya mada? nijibu hiyo mathayo 1:24.Nimekuambia tafuta Biblia ya Kigiriki uone tofauti....
BTW; ili tusitoke nje ya mada, hakuna hata mmoja aliyejibu ni kwanini Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la Kale...? Kwanini alipunguza kitabu cha Ufunuo, Yakobo na Waebrania...???
Tuende kisomi zaidi, ili tusiharibu mada...Kama unajibu nipe....
Mambo ya B/Maria ili upate majibu sahihi anzisha mada hakika nitakuja kukujibu