Kama wewe ulivyolishwa sumu ya uongo? Usiangamie kwa kukosa maarifa, lisome neno na ulielewe neno. Usikubali kukaririshwa wakati neno liko wazikabisa.Unafikiri wale wachungaji waliowapulizia dawa za mbu na kuwanywesha detto wafuasi wao walikuwa wanatumia kitabu cha biology...? Hapana walikuwa wanatumia Biblia...
Ishi sio biblia! Biblia inahitaji Elimu ya Falsafa na Teolojia...Bila kuwa na hivyo mtalishana sumu huko kwenye makanisa yenu kwa kutumia biblia hiyo hiyo
No! Nyie Protestant baada ya kukosa majibu, ili kuchafua thread wenzako wakaanza kuchomeka mambo ya Maria, nk nk nk.....Kilichonifanya nikoment katika uzi huu ni mlipomuingiza maria katika mada hii, hivyo kama kutoka nje ya mada nyie
Sumu gani ya uongo ...? Tunapigia wapi mstari kuwa huu ni uongo na ule si uongo...?Kama wewe ulivyolishwa sumu ya uongo?
Nisiangamie kwa mujibu wa nani...??Usiangamie kwa kukosa maarifa,
Kwataarifa yako mimi ninaweledi wa maandiko.....lisome neno na ulielewe neno. Usikubali kukaririshwa wakati neno liko wazikabisa.
Kaanzishe mada nije....Kama umeshindwa kutoa majibu hapa basi hata zikianzishwa mada elfu, hautokuwa na majibu maana hayapo bali ni propaganda tu.
Yaelekea huijui Biblia au unatumika kupanda mbegu ya mafarakano.Je wamfahamu John Huss? kam unamfahamu alikufaje na kwa sababu gani,wamfahamu Zinzendorf?KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....Yaelekea huijui Biblia au unatumika kupanda mbegu ya mafarakano.Je wamfahamu John Huss? kam unamfahamu alikufaje na kwa sababu gani,wamfahamu Zinzendorf?
Otorong'ong'o achana na hujo jamaa inaonekana kind of illiterate alafu ana element za kipagani hana anachojua na wala hataki kikua.Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....
Kisha utupe sababu ya yeye kutaka kuondoa(Actually Alishaviondoa kabisa) vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania ....?
Ebu anzisha thread utupe historia ya kanisa katoliki usivuruge thread ya watu.
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
hivyo vitabu saba hata wayahudi wenyewe hawajaviweka kwenye vitabu vyao vitakatifu.Tupe sababu za Martin Luther kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....
Kisha utupe sababu ya yeye kutaka kuondoa(Actually Alishaviondoa kabisa) vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania ....?
Hapo nakuelewa mkuu...kumbe tunatakiwa kuomba kwa Jina la Yesu tu na sio Mariam wala wafu,si ndio?![emoji53]Jamani kwa mujibu wa andiko lakitabu cha matendo 4.11_12. Maria hanasifa zakuwa muombezi wawatu ..wala watu waliokufa hawezi kuwa waombezi wawatu hata siku moja maana mwenyemamlaka hayo ni yesu peke yake ..
Yesu mwenyewe anasema ..katika kitabu
cha
Yohane 16.23_24...
Inasema.. .....siku hiyo hamtaniomba chochote.. Kweli nawambieni . Chochote mtakachomuomba Baba kwa jina langu. atawapeni .mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike...
Eee haya ndioyo maneno yawatu wenye hekima kuelezwa.
Sio uzushi wa bikila maria kuwa muombezi badala ya yesu. . Nasema tena hakuna andiko hata moja linalo sibitisha ndani yabibilia au kumpa mamlaka maria kuwa muombezi wa watu hakuna.. Wala watakatifu walio kufa kuombea watu walio hai hakuna. Maria nawatakatifu mnaowabandika kuwa waombezi wa watu hayo nimapokeo na yesu anayapiga teke mapokeo ya wanadamu..
bibilia haifichi inaendelea kuwekawazi
Marko 7.8 nanyi mnaiacha amri ya Mungu na kuyashika maagizo ya wanadamu..
Maanayake nini yesu mwenyewe anasema ombeni kwa jina langu mtapata mfulaishe nafsi zenu.. Wapi bibilia inaagiza maria awe muombezi au wafu wawa ombee wazima huu niuongo la labda niwakumbushe katika watu waliokufa mpaka leo hawajafufuka na Maria nimmoja wapo.. Sasa mufu anamuombeaje mtu mzima nawakati hajitambui..haya nimapokeo ambayo yesu anayakataa kabisa nami ninasema hana nafasi
Hiyo mistari yote uliotuelekeza haimanishi chochote ktk hicho unachotaka kituaminisha kweli your poor in Bible knowledge,me nafikiri jambo jema turudi mada tusivuruge Uzi wa watu,usisome mistari mmoja biblia ndg zanguni....!biblia haisomwi hivyo jamani,biblia ni fasihi ya hali ya juu sana never happenedJamani kwa mujibu wa andiko lakitabu cha matendo 4.11_12. Maria hanasifa zakuwa muombezi wawatu ..wala watu waliokufa hawezi kuwa waombezi wawatu hata siku moja maana mwenyemamlaka hayo ni yesu peke yake ..