jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Biblia ni fasihi ya hali juu sana unatakiwa uombe msaada wa Mungu kabla hujaanza kuisoma,ila hatumtendei haki mwenye Uzi huu kwani nje ya Uzi kabisa.
Mamlaka haya aliyapata kutoka kwa nani angali Biblia ilikuwa imeshakamilika...hivyo vitabu saba hata wayahudi wenyewe hawajaviweka kwenye vitabu vyao vitakatifu.
Peleka ujinga wako mitaani huko....Kwanza kajifunze kuandikaNduguzetu wa Rc tunayo mengi ya kuwafundisha.. Haya mazehebu makubwa yamekuwa yakiwalaghai watu nakuwaaminisha kwamba bila Rc ..au ruselani .au angirikani Aic.. Basi kwa mungu huendi.. Huuniuongo uliokomaa swala lakwenda kwa mungu nikutenda yaliyo mema hakuna cha wafu kuombea wazima hapa .. Bali kunamaandiko yanayo luusu watumishi wakiloho kuwasamehe zambi kuwaombea wagonjwa nakuwapa watu ubatizo tena bule siyo kama sasa ubatizo umegeuka dili .. Kwabaazi ya madhehebu hili nalo tutalisemea wakati ukifika.
Una muunga mkono kupunguza vitabu vya Biblia...???? Unayosababu iliyompelekea yeye kupunguza vitabu 7 vya AK....wakatoliki na biblia wapi na wapi?? mi namuunga mkono luther....si mnaona nyie wenyewe mnavotofautiana kuna wale kama walokole na wengine tradional rc, mtu yeyote akisoma historia ya roma kwa muda mrefu ni rahisi sana kujitenga, upako mdogo mno.
Tupe sababu ya Martin Luther kupunguza vitabu vya Agano la Kale....Sasa ngoja nikusaidie bibilia inasema yesu alifundisha kwa mifano na mafumbo lakini ilifika wakati
Mtihani wa hesabu kwanini utoe majibu ya Jiografia...????Kuchangia siyo kuvuruga.Umegusa Imani. Bahati nzuri mada hii ya watu wa Imani moja. Katika Imani hii kila mchangiaji anagusa eneo moja tu kujenga au kubomoa.Ajengaye ni wa Kristo na anaye bomoa ni wa mwovu.
Mwanamke wa Ufunuo 12 ni Kanisa la Kristo,kitabu cha Ufunuo kinatumi lugha ya mfano. Mwanamke safi ni kanisa la Mungu linalotii amri zake, Kahab mkuu wa Ufunuo 17:5 ni kanisa lililoasi Amri za Mungu, ushahidi wa kibiblia unaonyesha kanisa hili ni Roman Catholic.Mnyama wa ufunuo 13 na 14 ni mamlaka ya kipapa.Utaona kuna mfanano mkubwa baina ya kahaba wa ufunuo 17 na mnyama w ufunuo 13 na 14.Hapa utaona kanisa la rumi likitumia nguvu za kisiasa kushinikiza ibada ya uongo."Wafalme wa nchi wamezini naye" . uzinzi hapa husimamia uasi wa Amri za Mungu. Kanisa la roma limeasi amri za Mungu na kuanzisha ibada iliyo kinyume na Mungu.Yaani wamebadili Sabato ya siku ya saba na kuifanya jumapili ambayo ni siku ya kwanza ya juma.wamebadili ubatizo kwa kunyunyiza maji badala ya kuzamishwa,Yesu hakunyunyiziwa maji alipokuwa mchanga bali alibatizwa akiwa mtu mzima ili nasi tufuate mfano wake. Kanisa la roma limeondoa amri ya pili inayokataza ibada ya sanamu na kanisa limejaa sanamu eti kwa majina ya watakatifu! Amri za Mungu katika kutoka 20 zimebadilishwa kama zinavyoonekana kwenye misale ya waumini.Wametimiza unabii wa Daniel 7:25." Naye ataazimu kubadili majira na sheria".Maria alipalizwa mbinguni pakikucha nitakuletea mstari labda ninukulu Ishara mkubwa ilionekana mbinguni Mwanamke aliyejipamba vzuri na taji la nyota kichwani mwake,ipo kkwenye Ufunuo asubuhi nitakupa vzuri zaidi
Toa ujinga wa kutuletea ngonjera za Ellen G White hapa.....Hivi unajua hata dhima ya Kitabu cha Apokalse ya Yohana...? Unajua kiliandikwa lini na kiliwahusu kina nani hasa...???Mwanamke wa Ufunuo 12 ni Kanisa la Kristo,kitabu cha Ufunuo kinatumi lugha ya mfano. Mwanamke safi ni kanisa la Mungu linalotii amri zake
Hivi unaijua historia mpaka kufikia SDA kuanzs kutumia Jumamosi kama siku yao ya kukutana...??Yaani wamebadili Sabato ya siku ya saba na kuifanya jumapili ambayo ni siku ya kwanza ya juma.
Toa ujinga wa kutuletea ngonjera za Ellen G White hapa.....Hivi unajua hata dhima ya Kitabu cha Apokalse ya Yohana...? Unajua kiliandikwa lini na kiliwahusu kina nani hasa...???
Unaonyesha una juhudi sana lakini si katika kutafuta wokovu bali katika kutetea uovu wa kahaba mkuu, yaani kanisa lililoasi Amri za Mungu na kutunga ibada ya uongo.Eti kanisa lanafundisha mwanadamu aiyehai akamuombe mfu! Huo ndo unaitwa umizimu.
Tutolee nginjera za makambi na lesson
Upuuzi mtupu ulioandika, ndio maana Martin Luther alianza kulipinga kanisa la roma baada ya kuona limeacha kufuata Biblia na kujitangia misale, ndicho ufanyacho eti tusiifuate Biblia ila tuamini hadithi za kutunga za kwenye misale.badilikeni, Yesu anakuja.Toa ujinga wa kutuletea ngonjera za Ellen G White hapa.....Hivi unajua hata dhima ya Kitabu cha Apokalse ya Yohana...? Unajua kiliandikwa lini na kiliwahusu kina nani hasa...???
Tutolee ngonjera za makambi na lesson
Hiyo ndio sababu iliyomfanya aondoe vitabu 7 vya Agano la Kale....Upuuzi mtupu ulioandika, ndio maana Martin Luther alianza kulipinga kanisa la roma baada ya kuona limeacha kufuata Biblia na kujitangia misale, ndicho ufanyacho eti tusiifuate Biblia ila tuamini hadithi za kutunga za kwenye misale.badilikeni, Yesu anakuja.
Kumbe bado hamjaacha ile tabia yenu ya mwaka 1844 Miller alivyotabiri ujio wa Yesu ehhh..misale.badilikeni, Yesu anakuja
Wewe ulietoa somo la ufunuo nimefulahiya sana kuusu hili somo labda nikulekebishe kidogo bibilia inasema mara tu alipokwisha kutwaa hicho kitabu. Wale viumbe hai wanne pamoja na wale wazee irini na wanne walianguka kifudifudi mbele mbele ya mwanakondoo. Kila mmoja alikuwa na kinubi na bakuli na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani. Ambao nimaombi ya watakatifu.. Nisawa kweli yalikuwa nimaombi yawatakatifu.. lakini. Bibilia haisemi kama yalikuwa ni maombi ya watakatifu waliokufa hapana..ila bibilia inatambua watakatifu walioko duniani inaamana walioko hai si wafu..
Evidence plz ebu tuaminishe kwamba RC wametumia kitabu cha Ufunuo kinatumika hvyo unavyosema.
Haya jikite kwenya mada..ZABURI 16:3, “Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio ninaopendezwa nao ”
Mpinga Kristo sharti apinge kwa nguvu zote ujio wa Yesu.Kumbe bado hamjaacha ile tabia yenu ya mwaka 1844 Miller alivyotabiri ujio wa Yesu ehhh..
Ehh! Hebu tuambue anakuja lini...?
Ehhe! Hebu niambie anarudi lini...?Mpinga Kristo sharti apinge kwa nguvu zote ujio wa Yesu.
Sakata lote la Yesu Wayahudi hawalitambui sembuse Maria? enzi hizo hakukuwa na mwanamke aliyepewa hadhi kwenye jamii, kwenye dini wala kwenye bibilia zsidi ya kuwataja tu walichofanya kuwatendea wanaume maarufu kama vile kueazaa, kuwapa chakula na kuwaimbia au kiwatukuza wanaume haoNa unaposema "kipaumbele" unataka kumaanisha kitu gani hasa...? Kipaumbele ni nini..?
Kwamba kaburi lipo ila halijapewa kipaumbele cha kuandikwa kwenye biblia...??? Ni kipaumbele gani unataka kuzungumzia hapa..?
biblia hasa agano la kale tumeitoa kwa wayahudi. sasa wayahudi hawakuwa na hivyo vitabu saba vya kina Judith na Tobith. wakatoliki waliviongeza ndiyo sababu Luther aliviondoa.Mamlaka haya aliyapata kutoka kwa nani angali Biblia ilikuwa imeshakamilika...