Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Tusilete matusi.. Maana tunachotaka hapa nikufahamu. Bikira maria hawezi kuwa kahaba nawala haitatokea akawa kahaba huo niupungufu wa mawazo na uelewa pamoja na upagani uliokisili.. Sasabasi hoja nikwamba Bikira maria hawezi kuwa muombezi wa watu maana hakuna andiko linalompa mamulaka hayo.. Lakni yesu analo andiko tena anasema yeye mwenyewe ombeni kwajina langu nanyi mtapewa.. Sii kwajina la Maria
Kama bikra Maria hawezi kuombea watu mbona wachungaji wenu, mitume na manabii wanawaombea nyinyi?
 
Kama Petro ni mwamba na Yesu Kristo ni nani?
Ni mwamba pia...? Unajua maana ya Simeoni Petro....???
[quote ]acheni kujipendekeza kwa Petro[/quote]Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...hii haina ubishi.....

wakati baba zenu warumi walimuua
Mbona warumi wanakukera sana...Yes! Ofcourse Romans chini ya Kaisari Nero walilidhulumu kanisa Katoliki na kuwaua mitume ikiwemo Petro....Na pale alipouawa likajengwa Kanisa Kubwa Duniani...
The St. Peters Basillica.....Au Basilika la Petro

Hebu nieleze nani akimpa unabii yule Mama Kichaa wa Marekani....????
 
Ukiona kilio uwiii! ujue jiwe limempata huko mafichoni. Nilichosema na ninaendelea kusema ni hiki Roman Catholic Church haijawahi na kamwe haina uhalali wa kuandika,kukusanya sijui kucompile Biblia takatifu.
Nani alifanya hiyo kazi...
Hivi wewe unafahamu kazi za mitaguso.....???

Kazi hiyo takatifu ilifanywa na Mitume wa Kristo pamoja na Wwkristo
Mitume gani hao...? Walikuwa na Elimu gani...? Biblia imekamilika baada ya mitume wote kufa...Ni mitume gani hao walikusanya....? Paulo mwenyewe siyo vitabu vyote alivyoandika yeye....

Hao Wakristo unaowataja ni Wakristo gani...?!?

waaminifu wakiwemo waldensia
Waldensia ni kina nani.

??? Waliandika Biblia gani...? Ilikamilika lini...? Chini ya nani...
??? Hivi unaijua historia wewe...? Hatuko kwenye lessoni hapa sawa!!!!
. Kanisa Katoliki chini ya Papa lilinuia kuipotosha Biblia yote kwa kukataza waumini kuwa na nakala za Biblia bali misale ya waumini tu.
Kwataarifa yako Misale ya Waumini ni maandiko tupu yamejaa humo ndani...????

propaganda nyingi ikiwemo kudai kuwa wao ndio waliondika na kucompile Biblia
Unakataa bila ushahidi....?? Lete ushahidi wa hao viumbe waliandika biblia tuwajue...??
, jambo ambalo si kweli
Kweli ni ipi..??

. Roman Catholic ni Mpinga Kristo,
Hii nginjera imeshapitwa wa Wakati ndugu...Watu watakushangaa.....Mpinga Kristo ni yule kichaa aliyesema Yesu alikosea njia ajaingia pa Takatifu alifanya hukumu ya upelekezi...

ushahidi upo kwenye Biblia hilo liko wazi.
Ushahidi kwa mujibu wa nani...? Kwa mujibu wa manuscript za Kichaa Ellen G White....???
Hata Petro wanayedai ni Papa wao
Yes! Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sio tunadai....hiyo ndiyo kweli...

, aliita rumi kuwa ni Babeli rejea 1 Petro 5:13.
Ofcourse Rumi kipindi kile chini ya Makaisari ilikuwa zaidi ya Babeli...Kanisa Katoliki lilifanya mabadiliko makubwa kwenye dola ya Rumi....Japokuwa Dola iliuuwa Wakristo wengi(catholics in facts) ila Mungu alisimama sambamba na Kanisa Katoliki...

Maneno haya ya Petro yanshabihiana na yale ya Yohana katika Ufunuo 17:15 "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi."
Sema yanashabihana na Manuscript za Bi Ellena White ...


Niambie nani alimpa yule kichaa Unabiii...??
 
Kwanza aliewadanganya kua petro alikuwa kathorici nani au yesu alikuwa kathoric nani.. Mbona huu niuongo ulio komaa.. Yesu na petro hawajawahi kusali kathoric na haitatokea wakasali kathoriki.. Tunavielelezo vya maandishi kuwa Yesu na mitume wake hajawahi kusali jumapili..ila kuna vielelezo vinavyo ikubali jumapili kuwa siku ya kusali ..lkn pamoja naho yote Yesu na mitume wake wote hawaja wahi kusali jumapili.. Japo kusali jumapili sii zambi wala jumatatu si zambi maana bibilia inasema ombeni kila wakati..hapa bibilia inaonesha haijalisha nijumapili au jumatatu siku zote zafaa kwa maombi
 
Habali za bikira maria zili ziliishia pale yesu alipoitwa na mmojawapo wa wanafunzi wake .wakamwambia bwana mama yako na nduguzo wako inje wanakuita yesu akasema mama yangu na ndugu zangu niwale wanao lishika neno la Mungu..na aliendelea kuhubili.. Kwamujibu wa andiko hili hakuwaona nduguze wala mama yake sasa hicho cheo mnacho mubandika maria mmekitoa wapi.. Simutuwekee nasisi vifungu vya kibibilia vinavyompa maria mamlaka ili nasisi tuvisome
 
Wakathoric hili swala la bikira maria kuawaombea watu zambi zao nilakubumba.. Halipo kwenye bibilia .. Halafu nilisha waambia mufu hawezi kumuombea mzima nawakati yeye hajitambui..bibilia inavifungu vingi vyakimaandiko vinavyosibitisha kuwa mtu alie kufa amelala mauti na hakuna nachokifahamu.. Na Maria alishakufa sikunyingi zilizopita.. Atawezaje kuwaombea ambao wako hai..ili tukubaliane na ninyi leteni andiko wapi bibilia inasema maria alipaa mbinguni..
 
Followers wa St Thomas ni part of the Catholic Church kama ulikuwa hujui.....Most of Eastern Church including Armenian na Chaldean wote ni part of Catholic Church...

Coptic Ni part of Eastern Rite....Easter Orthodox Churches zote walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,

Zote hizo zinasngukia kwebye Eastern Orthodox Churches...

Utengano wa kwanza ulitokea mwaka 1100... Before that kulikuwa na Kanisa Katoliki pekee.....
Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?

In your answers, you seem to put the Eastern and Oriental Orthodox churches in one basket. They are different. Please read your history and then come back to argue with me
 
Je unalo andiko la bibilia linalosibitisha kuwa wakaridayo walikuwa nisehemu ya catholic..lete andiko sio hadisi.. maana hadisi ndizo zinazotusumbua mpaka sasa.. maria kuwa muombezi hizi niadisi zisizokua na kichwa wala miguu
 
Nimewaambia leteni maandiko wapi wafu wana hakhi ya kibibilia ya kuwaombea wazima .lakni mmekoswa ndiomaana ninawaambia munalishwa uongo hakuna andiko linalompa mari na wafu wenzie mamlaka kuwaombea walio hai.. Na mukilileta andiko hilo..mm naacha kuhuzulia jf
 
Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?

In your answers, you seem to put the Eastern and Oriental Orthodox churches in one basket. They are different. Please read your history and then come back to argue with me
Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.
 
Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.
Majibu nilishampa hapo....Wewe tulia historia huijui kaa kimya kabisa....Wewe soma manuscript za Ellena White ndio size yako..

Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.
Mimi, ninaweledi wa maandiko ndugu, naijua historia vizuri....histori chafu ya SDA naifahamu vizuri, kuanzia Miller, Bates na wenzako mpaka White wote hao nawajua vilivyo....Huwezi nidanganya chochote.....

Hii nitaarifa nakupa kama ulikuwa hujui
 
Duh ...ili tuelewane hapa ....jiulize ....nini msingi wa unachoamini? Then ukijua msingi chimba historia ya huo msingi bila kutegemea simulizi tu za mtu/ mchungaji unayemuamini ....otherwise hutajua mipaka yako ...
 
Kanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana

Hiithread imenifanya nicheke sana. Kuhusu kuhalalisha pombe, kama mkuu wa kaya mwenyewe alitnga kwenye harusi na akawapa watu Pombe na wakanywa, utawalaumu vp watoto!?

Ishu ya kufa na kuzikwa na padri, huo utaratibu tu wa kanisa na wala hamna hicho una hosema kuwa mtu anaombewa rehema. Sijawahi sikia japo nami ni Muumini wa katoliki.

Lastly, wengi wanao kimbia kimbia, huwa wanatapa tapa kwani mwisho wa siku hurudi kundini baada ya kukutana na milolongo ya taratib ambazo nyingi hutia shaka. Especially suala kama la sadaka. Waumini wao huwa hawapewi black and white matumizi ya sadaka, mwisho wa siku unakuta kiongozi wa kanisa amejinunulia PRIVATE NDEGE, na magari ya kifahari.
 
wakathoric acheni jaziba hili swala kanisa kathoric kuwauwa mitume na wakiristo wamwanzo sio hadisi ni jambo lakweli.. Hata wakina yohane petro na wengine wengi walifia roma chini ya uongozi wa dola la kiroma.. Petro alisulubiwa..nakazikwa hapo yalipo makao makuu yakanisa la Rc.. itary.. Na waliomuuwa ni hawahawa naoijiita Romani kathoc.. Kipindihicho walikuwa wanafanya mamboyao kama dola..nakisha wakajibadilisha nakujiita kanisa.. Kunamambo mengi hili kanisa limeyaficha..na limeongoza uuwaji wa mitume wengi na ushaidi upo
Safi waelimishe,huenda wakafumbuliwa macho.
 
Anaekimbia kathoric nakuludi alikuwa kakimbizwa na mapepo nasasa kapona ana amua kudi.. Lkn ninawaambia ubani hauwezi kutoa pepo maana hata yesu hakuutumia ubani .. Ubani ulitumiwa na waumini wakipindihicho ambao walikua sii wakiristo nakama walikuwa sii wakiristo inaamana walikuwa wapagani walikua na dini zao ambazo yesu alizishutumu sana hadi alifikia kuwaambi enyi wanafiki.. Ninani elie walaani.. Kamahizodini. yesu angezikubali asingeweza kuzifumua kiasi hicho
 
Habali za bikira maria zili ziliishia pale yesu alipoitwa na mmojawapo wa wanafunzi wake .wakamwambia bwana mama yako na nduguzo wako inje wanakuita yesu akasema mama yangu na ndugu zangu niwale wanao lishika neno la Mungu..na aliendelea kuhubili.. Kwamujibu wa andiko hili hakuwaona nduguze wala mama yake sasa hicho cheo mnacho mubandika maria mmekitoa wapi.. Simutuwekee nasisi vifungu vya kibibilia vinavyompa maria mamlaka ili nasisi tuvisome
Wewe sali uwezavyo haya Maria yanahitaji elimu pana sana na usiwabeze wengine.
 
Back
Top Bottom