Hebu tuelimishe nasi tukuelimishe hiyo ndiyo itakayotoa mwanga kwa wasomaji wengi..!Kwa taarifa yako, sio kujua hayo mafumbo ya vitu na watu, ni kuwa kitabu chote cha Apokalpse ya Yohana nina weledi nacho ..
Vipi unataka tuelimishane...??
Hebu tuelimishe nasi tukuelimishe hiyo ndiyo itakayotoa mwanga kwa wasomaji wengi..!Kwa taarifa yako, sio kujua hayo mafumbo ya vitu na watu, ni kuwa kitabu chote cha Apokalpse ya Yohana nina weledi nacho ..
Vipi unataka tuelimishane...??
Mbona unatukana na una hasira...punguza hasira..rudi kwenye swali na elezea ili tukuelewe!!Hebu wewe nieleze....Sitaki kurudia mara kumi kumi kitu kile kile.....
Wewe unafikiri hao wazee 24 na wale 4 ni nyanya zako wako dongobeshi...?
Nadhani tuiangalie Biblia inasemaje..Theology isikufunge maana hiyo siyo Maandiko, Ukiisoma Biblia haijichanganyi imesema moja kwa moja...'Hakuna mtu anaweza kusimama badala ya Yesu Kristo ili kumfikia Mungu Baba..hiyo ni Biblia inasema, sasa kama Theology inataka kupindisha hilo haliwezi kuwa matakwa ya Kibiblia bali matakwa ya hao wanatheology na utashi wao wa kuelewa.Ndio maana nikasema apa panahitatajika Taaluma Mungu(THEOLOGY) huwezi kuelewa hili jambo,ila kwa kifupi Wakatoliki hawamwombi Maria/Watakatifu direct Bali wanamwomba Mungu kwa njia ya mwanae Yesu Kristo na pia wanakazia sala zao kupitia watakatifu akiwemo Maria Mtakatifu mama wa Mungu,njoo na Uzi unaohusu mambo haya kisha tutakuja,ila Taaluma Mungu muhimu sana kwako na mengine style yako.
Hebu tupe tafsiri yako ili kujenga uelewa zaidi na kama ni tofauti utapingwa tu..maana Biblia itabaki kuwa ilivyo na tafsiri za wanadamu zitabaki kuwa tafsiri...karibuLaiti ungejua hata hiyo tafsiri unayoamini chanzo chake ni nini usingeangaika kumshangaa mwenzako....kwani nini unaamini tafsiri yako ni sahihi na huyu ni potofu? Mchungaji wako? Tumieni akili kwenye vitu vinavyohitaji akili tu!
Usitukane..We mjibu hoja yake ili kujenga uelewa nadhani ndiyo msingi wa forum hii!Yesu aliacha kanisa katoliki lini? Wakristo wenzangu hamna tofauti na walevi.
Umekosea ndugu, Unataka Elimu gani ambayo itakuthibitishia kuwa jamii ya watu waliokoka wengi hawana Elimu ya Kimungu, Nadhani hoja yako uliyoiweka kwenye forum hii inahitaji michango ya wengi na usizuie uchangiaji wao, Kikubwa kinachoangaliwa hapa ni Je Biblia ndiyo msingi wa michango hiyo..? kama siyo Je madhara yake ni yapi? Maana unapopingwa na ulichosema inamanisha aidha wewe mwenyewe hujui ulichokisema msingi wake au unajua ila umejiapisha kutokubadilika.Nilichojifunza jamii ya Walokole wengi elimu ya Kimungu hawaijui. Ndio maana hata ukweli wakati mwingine wanaupinga.
Great..Jambo la muhimu kutambua ni kuwa Biblia iliandikwa na watu waliipewa ufunuo na Mungu na pia walivuviwa na Roho Mtakatifu ili katika mazingira yao wakati huo waandike kwa usahihi kile walichofunuliwa na Mungu ili kiweze kufaa kwa mafundisho. Andiko nililonukuu kutoka kwa Paulo linathibitisha hilo. Kwa akili ndogo ti, je hapo Mtume Paulo alikuwa anazungumzia maandiko yapi? Ni wazi kuwa kumekuwapo utaratibu wa kuhifadhi maandiko ya Mungu kwa utaratibu ulioongozwa na Roho Mtakatifu. Kuanzia Mwanzo, Mungu aliongoza uhifadhi wa maandiko hata Yesu alipokuja alinukuu Maandiko ya wakati huo, Mitume pia walinukuu Biblia hiyo hiyo.Tangu awali sio kila kitu kilichofanywa na manabii au wafalme wa Israeli kiliandikwa kwenye Biblia, ukisoma vitabu vya wafalme wa Israel utaona hilo jambo limesemwa. Hata wakati wa agano jipya, utaratibu ulitumika huo huo. Yaani Mungu anawafunulia na kuwavuvia waandishi ili kuandika kile kilichokuwa cha msingi kwa wokovu wetu. Hili limefanyika kabla ya kanisa kuungana na upagani wa kirumi ambao walianza kupotosha maandiko chini ya kanisa la roman catholic. Na ndio maana Wakristo waaminifu waliihifadhi Biblia halisi tuliyonayo leo. Cha ajabu kanisa la roma linajipa mamlaka ya kuandika Biblia jambo ambalo si kweli. Kanisa la roma halitaki kukiri kuwa Biblia ilikuwepo tangu enzi za manabii na zaburi, Yesu aliitumia Biblia hiyo ikiwa na agano la kale. Kanisa la mitume likaendekeza kazi hiyo na kwa uongozi wa Roho Mtakatifu, vitabu 27 vya agano jipya vikachaguliwa kukamilisha Biblia ya vitabu 66. Kumbuka hii ni kazi ya Mungu, mtu yeyote asijisifu. Na yote yaliyo katika Biblia hii, yafaa kwa mafundisho na kwa wokovu wa mwanadamu.
Umekariri ...kwa taarifa yako Biblia yenyewe haijipi mamlaka mnayoipa ....hivyo ukiamua kubaki na kuamini kilichoandikwa tu si mbaya ila yapo mengi hayakuandikwa. Kanisa Katoliki ndio lililofanya juhudi za kukusanya vitabu na kuvichambua vipi viwe sehemu ya Biblia kwa muongozo wa Roho Mtakatifu .....kazi hiyo haikuishia hapo ...bado Roho Mtakatifu analiongoza hata sasa kama walivyopata maono ya kuhifadhi neno la Mungu....Biblia yenyewe inakiri kwenye 1Timothy 3:15 " This is the church of living God, which is the PILLAR and FOUNDATION of the TRUTH" .....Kanisa muongozo mkuu ni Roho Mtakatifu na Biblia ni sehemu ya msingi wa imani....Hebu tupe tafsiri yako ili kujenga uelewa zaidi na kama ni tofauti utapingwa tu..maana Biblia itabaki kuwa ilivyo na tafsiri za wanadamu zitabaki kuwa tafsiri...karibu
Kwani kina nani wanamuomba Mungu kupitia njia tofauti na Yesu.....?ebu tuambie na utuzdhibitishie hilo.....!nakusubiri.Nadhani tuiangalie Biblia inasemaje..Theology isikufunge maana hiyo siyo Maandiko, Ukiisoma Biblia haijichanganyi imesema moja kwa moja...'Hakuna mtu anaweza kusimama badala ya Yesu Kristo ili kumfikia Mungu Baba..hiyo ni Biblia inasema, sasa kama Theology inataka kupindisha hilo haliwezi kuwa matakwa ya Kibiblia bali matakwa ya hao wanatheology na utashi wao wa kuelewa.
Great kwa lipi...?kwa upotoshaji...?Upagani wa Roman Catholic ni upi haswa.....?Je unazungumzia vile vitabu 7 vya Deuterocanony....?kama ndio unajua historia yake....?katika safari yako ya usomaji ulishawahi kuvisoma vile vitabu...?kama bado nenda kavisome kama tayari vitabu vile vinapinga ya Mungu.....?na mwisho unajua historia ya hivyo vitabu yani kwann havipo kwenye biblia ya Wayahudi/Waprotestant.....?Great..
Kama na wewe unaomba kupitia Yesu Kristo basi uko sawasawa na Biblia na hivyo ndivyo ilivyo na ndivyo Biblia inasema Yn.14:6Kwani kina nani wanamuomba Mungu kupitia njia tofauti na Yesu.....?ebu tuambie na utuzdhibitishie hilo.....!nakusubiri.
Nadhani tusipindishe, Yako uliyoeleza nakubaliana nawe..Kwamba Kanisa linaongozwa na Roho Mtakatifu...Nakubaliana nawe kabisa..Lakini unaposema Biblia ni sehemu ya msingi wa imani...hapo tutataofautiana..Kwanini, Kwasababu Biblia siyo sehemu...hapana!! Ndiyo haswa Msingi kamili wa Imani ya Kikristo na Roho Mtakatifu anapokuelekeza kufanya anakuelekeza ufuate kilichoandikwa kwenye Biblia..na ndiyo Maana Maandiko yanasema wazi kuwa asiwepo mtu wa kuondoa hata yodi moja ya neno Katika Biblia ili ule Msingi usiyumbishwe na matakwa ya watu..na hii tunaishuhudia hata sasa kuoona waalimu, manabii, wachungaji wanapotosha kilichoandikwa kwenye Biblia na kuaminisha watu kuwa ndivyo ilivyo, Mifano ni mingi, tunaweza kupata forum nyingine kueleza.Umekariri ...kwa taarifa yako Biblia yenyewe haijipi mamlaka mnayoipa ....hivyo ukiamua kubaki na kuamini kilichoandikwa tu si mbaya ila yapo mengi hayakuandikwa. Kanisa Katoliki ndio lililofanya juhudi za kukusanya vitabu na kuvichambua vipi viwe sehemu ya Biblia kwa muongozo wa Roho Mtakatifu .....kazi hiyo haikuishia hapo ...bado Roho Mtakatifu analiongoza hata sasa kama walivyopata maono ya kuhifadhi neno la Mungu....Biblia yenyewe inakiri kwenye 1Timothy 3:15 " This is the church of living God, which is the PILLAR and FOUNDATION of the TRUTH" .....Kanisa muongozo mkuu ni Roho Mtakatifu na Biblia ni sehemu ya msingi wa imani....
Wewe umeniuliza nini na mimi nimekujibu nini..? Nimekujibu ulichoniuliza....Mbona unatukana na una hasira...punguza hasira..rudi kwenye swali na elezea ili tukuelewe!!
Nikuelimishe na wewe umielimishe...?? Hii umetolea wapi..??Hebu tuelimishe nasi tukuelimishe hiyo ndiyo itakayotoa mwanga kwa wasomaji wengi..!
Great...kwamba ameelezea vizuri...hebu elezea hivyo vitabu umevieleweje na vinatoa tafsiri gani..?Great kwa lipi...?kwa upotoshaji...?Upagani wa Roman Catholic ni upi haswa.....?Je unazungumzia vile vitabu 7 vya Deuterocanony....?kama ndio unajua historia yake....?katika safari yako ya usomaji ulishawahi kuvisoma vile vitabu...?kama bado nenda kavisome kama tayari vitabu vile vinapinga ya Mungu.....?na mwisho unajua historia ya hivyo vitabu yani kwann havipo kwenye biblia ya Wayahudi/Waprotestant.....?
inasemaje kuhusu nini..??Nadhani tuiangalie Biblia inasemaje..
Unajua maana ya Theology wewe...??? Ndio maana mnanyweshana detto na dawa za mbu huko makanisani kwenu...Theology isikufunge maana hiyo siyo Maandiko,
We huu mjadala kaa nao mbali mno mno nenda kule jokes ndio kuna kufaa...Ukiisoma Biblia haijichanganyi imesema moja kwa moja...'Hakuna mtu anaweza kusimama badala ya Yesu Kristo ili kumfikia Mungu Baba..hiyo ni Biblia inasema, sasa kama Theology inataka kupindisha hilo haliwezi kuwa matakwa ya Kibiblia bali matakwa ya hao wanatheology na utashi wao wa kuelewa.
Great...kwamba ameelezea vizuri...hebu elezea hivyo vitabu umevieleweje na vinatoa tafsiri gani..?
Basi tusigombane katika haya, nadhani forum hii ni kwa ajili ya kueleweshana ili kujenga uelewa mzuri zaidi, inawezekana mmoja akawa na uelewa zaidi au mdogo lakini mwisho wa siku ataelewa naye..ukichukia unaweza ukatunyima hata yale mazuri ambayo bado hujayasema hapa, naamini hivyo.Wewe umeniuliza nini na mimi nimekujibu nini..? Nimekujibu ulichoniuliza....
Ndugu una uhakika gani kama mimi siijui theology au credentials zangu unazijua? Naona tusimamie Biblia inavyosema na wengine wapate kuelewa, usiwe na hasira, rudi kwenye nafasi yako vizuri, elezea nasi tutakusoma na kukuelewa, Kule kwenye jokes forum wala hutaweza kuniona maana siyo eneo langu. asanteinasemaje kuhusu nini..??
Unajua maana ya Theology wewe...??? Ndio maana mnanyweshana detto na dawa za mbu huko makanisani kwenu...
We huu mjadala kaa nao mbali mno mno nenda kule jokes ndio kuna kufaa...
Kuna mtu alikataa...? Umeshawahi kuona jinsi sala za Katoliki zinavyoishia...?? Umeshawahi sikia maneno yanatamkwa mwishoni...??Kama na wewe unaomba kupitia Yesu Kristo basi uko sawasawa na Biblia na hivyo ndivyo ilivyo na ndivyo Biblia inasema Yn.14:6
Nani anapindisha...??Nadhani tusipindishe,
Sasa unadhani bila biblia huyo Yesu ungemjuaje...??..Lakini unaposema Biblia ni sehemu ya msingi wa imani
Kwanini tutofautiane.. ??...hapo tutataofautiana..
Martin Luther sio aliondoa yodi moja ila aliondoa vitabu 7 vya Agano la Kale...Ndiyo haswa Msingi kamili wa Imani ya Kikristo na Roho Mtakatifu anapokuelekeza kufanya anakuelekeza ufuate kilichoandikwa kwenye Biblia..na ndiyo Maana Maandiko yanasema wazi kuwa asiwepo mtu wa kuondoa hata yodi moja ya neno Katika Biblia ili ule Msingi usiyumbishwe na matakwa ya watu..na hii tunaishuhudia hata sasa kuoona waalimu, manabii, wachungaji wanapotosha kilichoandikwa kwenye Biblia na kuaminisha watu kuwa ndivyo ilivyo, Mifano ni mingi, tunaweza kupata forum nyingine kueleza.