Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 632
Kama bikra Maria hawezi kuombea watu mbona wachungaji wenu, mitume na manabii wanawaombea nyinyi?Tusilete matusi.. Maana tunachotaka hapa nikufahamu. Bikira maria hawezi kuwa kahaba nawala haitatokea akawa kahaba huo niupungufu wa mawazo na uelewa pamoja na upagani uliokisili.. Sasabasi hoja nikwamba Bikira maria hawezi kuwa muombezi wa watu maana hakuna andiko linalompa mamulaka hayo.. Lakni yesu analo andiko tena anasema yeye mwenyewe ombeni kwajina langu nanyi mtapewa.. Sii kwajina la Maria
Ni mwamba pia...? Unajua maana ya Simeoni Petro....???Kama Petro ni mwamba na Yesu Kristo ni nani?
Mbona warumi wanakukera sana...Yes! Ofcourse Romans chini ya Kaisari Nero walilidhulumu kanisa Katoliki na kuwaua mitume ikiwemo Petro....Na pale alipouawa likajengwa Kanisa Kubwa Duniani...wakati baba zenu warumi walimuua
Huyo jamaa usihangaike kum-quote ni kama kichaaa..Kama bikra Maria hawezi kuombea watu mbona wachungaji wenu, mitume na manabii wanawaombea nyinyi?
Nani alifanya hiyo kazi...Ukiona kilio uwiii! ujue jiwe limempata huko mafichoni. Nilichosema na ninaendelea kusema ni hiki Roman Catholic Church haijawahi na kamwe haina uhalali wa kuandika,kukusanya sijui kucompile Biblia takatifu.
Mitume gani hao...? Walikuwa na Elimu gani...? Biblia imekamilika baada ya mitume wote kufa...Ni mitume gani hao walikusanya....? Paulo mwenyewe siyo vitabu vyote alivyoandika yeye....Kazi hiyo takatifu ilifanywa na Mitume wa Kristo pamoja na Wwkristo
Waldensia ni kina nani.waaminifu wakiwemo waldensia
Kwataarifa yako Misale ya Waumini ni maandiko tupu yamejaa humo ndani...????. Kanisa Katoliki chini ya Papa lilinuia kuipotosha Biblia yote kwa kukataza waumini kuwa na nakala za Biblia bali misale ya waumini tu.
Unakataa bila ushahidi....?? Lete ushahidi wa hao viumbe waliandika biblia tuwajue...??propaganda nyingi ikiwemo kudai kuwa wao ndio waliondika na kucompile Biblia
Kweli ni ipi..??, jambo ambalo si kweli
Hii nginjera imeshapitwa wa Wakati ndugu...Watu watakushangaa.....Mpinga Kristo ni yule kichaa aliyesema Yesu alikosea njia ajaingia pa Takatifu alifanya hukumu ya upelekezi.... Roman Catholic ni Mpinga Kristo,
Ushahidi kwa mujibu wa nani...? Kwa mujibu wa manuscript za Kichaa Ellen G White....???ushahidi upo kwenye Biblia hilo liko wazi.
Yes! Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sio tunadai....hiyo ndiyo kweli...Hata Petro wanayedai ni Papa wao
Ofcourse Rumi kipindi kile chini ya Makaisari ilikuwa zaidi ya Babeli...Kanisa Katoliki lilifanya mabadiliko makubwa kwenye dola ya Rumi....Japokuwa Dola iliuuwa Wakristo wengi(catholics in facts) ila Mungu alisimama sambamba na Kanisa Katoliki..., aliita rumi kuwa ni Babeli rejea 1 Petro 5:13.
Sema yanashabihana na Manuscript za Bi Ellena White ...Maneno haya ya Petro yanshabihiana na yale ya Yohana katika Ufunuo 17:15 "Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi."
Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?Followers wa St Thomas ni part of the Catholic Church kama ulikuwa hujui.....Most of Eastern Church including Armenian na Chaldean wote ni part of Catholic Church...
Coptic Ni part of Eastern Rite....Easter Orthodox Churches zote walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,
Zote hizo zinasngukia kwebye Eastern Orthodox Churches...
Utengano wa kwanza ulitokea mwaka 1100... Before that kulikuwa na Kanisa Katoliki pekee.....
Which word..? Catholic...?Third, can you find the word in the Bible?
Jipange vizuri...urudi tenaYesu kazi yake ni kutuombea..?
Jibu hilo swali...? Yesu ni Mungu...anatuombea kwa nani angali yeye ni Alpha na Omega..?Jipange vizuri...urudi tena
Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.Let me ask you some questions. When the first time the word Catholic was used to describe the church? Second, in which context the word was used for? Third, can you find the word in the Bible?
In your answers, you seem to put the Eastern and Oriental Orthodox churches in one basket. They are different. Please read your history and then come back to argue with me
Majibu nilishampa hapo....Wewe tulia historia huijui kaa kimya kabisa....Wewe soma manuscript za Ellena White ndio size yako..Umemuuliza maswali magumu sana sidhani kama atajaribu hata kukujibu.
Mimi, ninaweledi wa maandiko ndugu, naijua historia vizuri....histori chafu ya SDA naifahamu vizuri, kuanzia Miller, Bates na wenzako mpaka White wote hao nawajua vilivyo....Huwezi nidanganya chochote.....Hawa vijana wa seminari wamezoea kukaririshwa rozari tu.
Kanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana
Safi waelimishe,huenda wakafumbuliwa macho.wakathoric acheni jaziba hili swala kanisa kathoric kuwauwa mitume na wakiristo wamwanzo sio hadisi ni jambo lakweli.. Hata wakina yohane petro na wengine wengi walifia roma chini ya uongozi wa dola la kiroma.. Petro alisulubiwa..nakazikwa hapo yalipo makao makuu yakanisa la Rc.. itary.. Na waliomuuwa ni hawahawa naoijiita Romani kathoc.. Kipindihicho walikuwa wanafanya mamboyao kama dola..nakisha wakajibadilisha nakujiita kanisa.. Kunamambo mengi hili kanisa limeyaficha..na limeongoza uuwaji wa mitume wengi na ushaidi upo
Wewe sali uwezavyo haya Maria yanahitaji elimu pana sana na usiwabeze wengine.Habali za bikira maria zili ziliishia pale yesu alipoitwa na mmojawapo wa wanafunzi wake .wakamwambia bwana mama yako na nduguzo wako inje wanakuita yesu akasema mama yangu na ndugu zangu niwale wanao lishika neno la Mungu..na aliendelea kuhubili.. Kwamujibu wa andiko hili hakuwaona nduguze wala mama yake sasa hicho cheo mnacho mubandika maria mmekitoa wapi.. Simutuwekee nasisi vifungu vya kibibilia vinavyompa maria mamlaka ili nasisi tuvisome