Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Mzee usiniambie mmekaa mkao wa fisi kusubiri mkono udondoke!
 
Mzee usiniambie mmekaa mkao wa fisi kusubiri mkono udondoke!
Nimekuambia nitakuhabarisha yatakayotokea....Mafundisho ya mama EGW yamekuwa mzigo ...hivyo tunayabadilisha taratibu ila kwa ustadi mkubwa, huku nyie washangiliaji mkiendelea kushangilia bila kujua...

Women Ordination lazima mtashangilia sana...na kadiri mnavyoshangilia ndivyo mnaparanganyika kiulaini.
 
Nimekuambia nitakuhabarisha yatakayotokea....Mafundisho ya mama EGW yamekuwa mzigo ...hivyo tunayabadilisha taratibu ila kwa ustadi mkubwa, huku nyie washangiliaji mkiendelea kushangilia bila kujua...

Women Ordination lazima mtashangilia sana....
Ni sawa kabisa maana uzoefu mnao kwa kubadili amri na kulishwa "matango pori" yaani amri kumi zilizochakachuliwa huku mkiambiwa hamna haja ya Biblia ila misale ya waumini tu inatosha.
 
Ni sawa kabisa maana uzoefu mnao kwa kubadili amri na kulishwa "matango pori" yaani amri kumi zilizochakachuliwa huku mkiambiwa hamna haja ya Biblia ila misale ya waumini tu inatosha.
We hujiulizi kipindi cha nyuma kwanini ilikuwa ni haramu kuweka picha kwenye tukio lolote la SDA ila leo hii ni ruksa...

Hujiulizi ni nini kimebadilika..? Hujiulizi kwanini na wewe umebaki unashangilia tena ukisifia...? Hujiulizi..?

Kaa mkao wa kula ni muda unaongea
 
Inaonekana hii umesoma mahali, mambo ya Mungu huwa yanakwenda kwa ufunuo wa Neno(revelation) kutoka kwake.Ukiyatafuta kwa akili ya kawaida huyapati.Martin Luther ni mmoja wa hao waliopata ufunuo wa namna kanisa linatakiwa liwe kulingana na Neno la MUNGU.Na ndio maana alifanya reformation kulingana na Ufunuo wa Kimungu aliopata katika Neno
 
Hebu tupe jibu...Kwanini Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale ..?
 
Jiuluze hiyo kazi mnayojipa inawasaidia nini kwenye wokovu wenu?kijana achana na kazi za mwovu shetani zitakupoteza.Yesu analinagalia kanisa lake kama mboni ya jicho, juhudi zozote za shetani za kuliangusha hazitafanikiwa.I urge you to join the weaning team of Jesus.upande uliochagua utakupeleka shimoni.
 
Kanisa gani hilo Yesu analiangalia...?? Hebu nijuze...?
 
maria aliambiwa amebarikiwa kuliko wanawake wote...
 
kanisa ni watu wale wanaolishika neno la mungu na kuzitii amri za mungu hilo ndio kanisa la Mungu pekee kamweli haliwezi angushwa wala kubomolewa
Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..


Saveth Day Adventist(Kikundi cha kiharakati)
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientology..
 
Labda nikuweke sawa hapa...

Cult zifuatazo sio makanisa wala Wakristo ..

Seventh Day Adventist
Mormon
Jehova Witness
Christian Scientology
jehoveh witness wao wanafundisha bibilia pekee.lengo lao waijue kweli basi kwa garama za wahisani pekee.
makanisa yanayo jiita makanisa yanawapinga kutokana na wao kueleza kweli.
 
.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Hakuj kufundisha sala bali anaonesha mchang wa mambo yaliomfany kuachan na hiv vitab
 
Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..


Saveth Day Adventist(Kikundi cha kiharakati)
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientology..
narudia tena kanisa ni watu na si jengo, hata yesu hakusema kanisa la baba yangu mmelifanya jumba la walarushwa wafanyabiashara. nk. bali alisema nyumba ya baba yangu...

kanisa ni wale waliozishika amri za mungu na kuzi tii na kufuata maagizo yote yatupasayo kuyafata toka kwa Mungu we YEHOVA.
Katoliki,lutherani,pentekoste,anglican,muslim haya ni makusanyiko/makundi yanayofata imani kwa mrengo wanao uamini.
 
Usikute unataka kusema cult zifuatazao ni makanisa..


Saveth Day Adventist(Kikundi cha kiharakati)
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientology..
Is there any tangible proof of Martin Luther removing books from the bible?
Hebu acha ujinga wewe....Unataka Ushahidi gani sasa...? Wa kimaandishi, ki historia au Ki Theolojia..?
 
We ni nani mpaka inahukumu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…