Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Hivi unajua kilichoko nyuma ya hilo kanisa? Au unaongea tu
Soma Ufunuo 13:1-18.

Kumbuka Yesu hakuacha dini ya Catholic, angalikana, au upentecoste.
Yesu alikuja kumkomboa mwanadamu ktk utumwa Wa dhambi. Tangu mwanzo hata sasa
Yesu anasema

[Yohana 8:12
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, Bali atakua nuru ya uzima.

Mahali pengine Yesu akasema, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima hakuna atakae kwenda Kwa baba pasipo kupitia kwangu.]

Nataka nikwambie tu ndugu Yang, hatuwezi kufika mbinguni Kwa kupelekwa na hayo madhehebu tu,

Hapa Msingi mkuu ni kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi Wa maisha yako.
Angalia usidhani na kujiona umesimama ktk imani, kumbe umeanguka ktk imani.
Mwamini Yesu ndugu yangu.
Vp kuhusu kuruhusiwa kwa makaasisi na watawa kuoa au kuolewa....?hili ulijui.....?na ndio maana nasema hivi vikundi vilikuja kimaslahi ya kidunia zaidi, na kwa taarifa yako Luther alirudi kanisani kuomba msamaha kiongozi wa kanisa wkt huo(PAPA) alimwambia kanisa limekusamehe Ila rudisha wanakondoo wote ulio wachukua kanisani hilo lilimshinda Luther,hizi historia wachungaji wenu hawawezi kuwaambia na pengine hawazijui.....upo apo.
 
Wewe uko affected na mafundisho ya kina Miller....

Hv pale Mathayo 16:16-19 ebu pitia mwenyewe alafu uje uniambie yule alikuwa ni Miller au EGW au Luther au yule mfalme wa uingereza mwasisi wa Anglican au viongozi wa vile vikundi ambavyo mwanzo wake ni utata mtupu...
Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic
 
Ni kweli Roman Catholic ndio chanzo cha kusujudia sanamu ya Bikra Maria wakidhani ndo watapata wokovu, Maria alishakufa kama Daudi ambaye Paulo anadai kaburi lake lipo hadi leo.hao wote wanasubiri ufufuo.Wokovu unapatikata kwa kumwamini Yesu Kristo pekee, kwani yeye yu hai siku zote

Hivi unahabari Ellen G White yupo Jehanam kutokana na mauaji aliyosababisha mwaka 1844...
 
Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu..


Petro ndiye Baba Mtakatifu wa Kwanza...Sasa jiongeze mwenyewe Kanisa aliloliacha Yesu ni lipi..
Kuwa uzia waumini hati ya msamaha,
Kusujudia sanamu ya birkira maria
[Eti mama maria utuombee sisi wenye dhambi!] Kweli?? Mtu alie kufa atakuombeaje wewe mwenye dhambi???
Yesu ndie alikufa Kwa ajili ya dhambi za mwanadamu na sio bikira maria,
Hili sio kanisa aliloacha Yesu! Hivi unajua historia ya roman catholic church au unaongea tu.
Usihadaike na hilo kanisa eti litakupeleka mbinguni!
Hio sahau!!!!

Narudia soma ufunuo 13:1-16
Huyo yule mnyama aliebadilisha nyakati na majira
 
Thibitisha kwa fungu la Biblia
Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?

Kwamba Ellen Gould White alifukuzwa Kanisa la Methodist unataka nikuambie ilitoka Marko 100:79....Unakichaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona una wasi wasi mkuu? Hujiamini na kanisa lako ninj
Huu uzi toka page ya kwanza nipo nao....

Wenzako kama wewe wamekuja na ngonjera zao wakaangukia pua...Wamekimbia wameacha uzi.....

Wamekuja na copy na Paste ila tukawaambua..Hivyo ni tahadhari nakupa nitakuumbua....

Ok! Leta hiyo historia...Maana kuijua historia pejer ya Kanisa Katoliki ni kuijua historia ya Dunia..

Sasa niajabu kama utaijua historia ya Dunia, angali nikuuliza historia ya nyanya ako yule alimzaa babu mzaa bibi yako humjui...Ni ajabu sana..
 
Fungu gani la biblia ...? Yani unataka nikuambie Kichaa Ellen G White alisabanisha mauaji mwaka 1844(Great disappointment) kuwa inatoka Mathato 99:45...?? Unaakili timamu...?

Kwamba Ellen Gould White alifukuzwa Kanisa la Methodist unataka nikuambie ilitoka Marko 100:79....Unakichaaa
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
 
ushahidi ni ushah
Hebu acha ujinga wewe....Unataka Ushahidi gani sasa...? Wa kimaandishi, ki historia au Ki Theolojia..?
Acha kupanic rafiki ushahidi ni ushahidi tu uwe wa kimaandishi, kihistoria etc. Leta Ushahidi sio maneno tu ya "here say"
 
Hahahaha hii kitu inaonyesha jinsi mkatoriki mmoja napojaribu kujitafutia Hali na uhalali
 
Back
Top Bottom