Mkuu huyu Bwana Kitaja alikuwa anapinga sana mambo ya picha na Sanamu,huku akitumia maandiko matakatifu kitabu cha Kutoka sura ya 20.....
Bila hiyana nikamuonesha bango kubwa la picha Ya Yesu kwenye Mkutano wao Uwanja wa Taifa...Nikamuuliza hiyo ni picha ya nani...? Aka-panic na kusema hiyo ni photoshop..
Nikamwambia hiyo picha nimetoa kwenye Website yanu ya Kanisa....Nahisi nilivyomwambia hivyo ikabidi aende kuhakikisha...
Unajua alisemaje..
"Mungu hajakataza kufanya picha kwa ajili ya kufundishia...ile picha ipo kwaajili ya kufundishi"
Nikajisemea hawa watu wanamatatizp..walikuwa hawajui wanachokifanya...
Hujanijibu nilichokuuliza zaidi ya kuja na mipasho......Kwa hio ndio muabudu sanamu! Amri za Mungu zinasemaje?
Usijifanyie kitu chochote kilichoko juu ya nchi ukakiabudu
Kwa mujibu wa Wasabato amri ile inakataza kujifanyia picha....Sijui kama unaelewa hapo..?Hata mashuleni tumefundishwa kutumia picha, ina maana shuleni wanaabudu sanamu? Tofautisha vinyago mnavyoviabudu na picha hizo hutumika kila mahali, sheleni, kanisani. barabarani kumejaa picha za matangazo je nazo ni sanamu,? Waabudu wafu wana taabu sana.
Naomba nikuulize tena...aHata mashuleni tumefundishwa kutumia picha, ina maana shuleni wanaabudu sanamu? Tofautisha vinyago mnavyoviabudu na picha hizo hutumika kila mahali, sheleni, kanisani. barabarani kumejaa picha za matangazo je nazo ni sanamu,? Waabudu wafu wana taabu sana.
Hii Thread nimewashirikisha Wasabato wengi wanaonekana kukata tamaa....Ni kama kanisa lao linawa-confuse[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] huyu jamaa anafurahisha sana lkn nahisi huyu jamaa nitakuwa namfahamu maana juzi ktk pitapita zangu kuna bwana mmoja rafiki yangu sana na mshirika wa hicho kikundi(SDA) nilimshirikisha kwenye hii thread inawezekana ni yeye,nakushauri mshirikishe yule baba yako wa kiroho yule Mzee mwenye upara ambaye ndio Mzee wa kikundi,maana mmekuwa na cinema za usiku kila wkt karibu na nyumba yenu ya ibada zikiwa ni kutukana Wakotoliki tuu...muoneshe huyo link kisha mkaribishe huku.
Nakumbuka sana mkuu,tulijaribu sana kuwasihi wajikite kwenye mada lkn wakawa wakaidi wakajikita kuwalaumu Wakotoliki.Mkuu huyu Bwana Kitaja alikuwa anapinga sana mambo ya picha na Sanamu,huku akitumia maandiko matakatifu kitabu cha Kutoka sura ya 20.....
Bila hiyana nikamuonesha bango kubwa la picha Ya Yesu kwenye Mkutano wao Uwanja wa Taifa...Nikamuuliza hiyo ni picha ya nani...? Aka-panic na kusema hiyo ni photoshop..
Nikamwambia hiyo picha nimetoa kwenye Website yanu ya Kanisa....Nahisi nilivyomwambia hivyo ikabidi aende kuhakikisha...
Unajua alisemaje..
"Mungu hajakataza kufanya picha kwa ajili ya kufundishia...ile picha ipo kwaajili ya kufundishi"
Nikajisemea hawa watu wanamatatizp..walikuwa hawajui wanachokifanya...
Hii Thread nimewashirikisha Wasabato wengi wanaonekana kukata tamaa....Ni kama kanisa lao linawa-confuse
Kwenye mambo ya kivita huwa tunasema "Battle Confusion"Wengi wa Wasabato hawajui kabisa historia ya Kanisa lao, Hawamjui kabisa Bibi Heleni, sasa hapa wanakataa Sanamu/Picha wengine
Kwenye mambo ya kivita huwa tunasema "Battle Confusion"
Yani badala ya kumpiga adui mnajikuta nyie nyie mnafarakana, yani mish mash...Matokeo yake mnashindwa vita..
Hawa Wasabato wanajikuta Wanapoteza muda na Kanisa Katoliki, wanasahau kutengeneza kwao, siku wakija kustuka kuwa wanachopigana nacho, wenzao walishashindwa karne karne, ndio huko kwenye Battle confusion wanaangukia..
Sio kosa lake ni mafundisho ya Ellen G White yamemtoa ufahamu.Naomba nikuulize tena...a
Kwa hiyo ni Ruksa kutumia Picha na Sanamu ila tunatakiwa tusiviabudu sio..??
jiwe la majiwe njoo uone huku.
Ipo siku wote tutakuwa Wakatoliki...Ni muda tu utaongea...Sio kosa lake ni mafundisho ya Ellen G White yamemtoa ufahamu.
Bahati nzuri unatambua kuwa kuna picha na sanamu, safi sana sasa unaaza kuelewa.kilichokatazwa ni sanamu.usitengeneze wala usivisujudie.Naomba nikuulize tena...a
Kwa hiyo ni Ruksa kutumia Picha na Sanamu ila tunatakiwa tusiviabudu sio..??
jiwe la majiwe njoo uone huku.
Bahati nzuri unatambua kuwa kuna picha na sanamu, safi sana sasa unaaza kuelewa.kilichokatazwa ni sanamu.usitengeneze wala usivisujudie.
Sitaki nikutoe kwenye mada...turudi kule kwenye Kutoka 20 kujifanyia picha na Sanamu...Huyo Nero alishakufa siku nyingi na utawala wake ulishakufa siku nyingi.acheni kupotosha
[QUOTE="Kituko, post
Kaka Kitaja , Biblia iko wazi kabisa, mwandishi wa Ufunuo anaelezea kwa wazi kabisa shida waliyokuwa wanaipata wayahudi chini ya utawala wa NERO (666)
Biblia ipo wazi kabisa kuhusu ibada ya sanamu
Msaidie ndugu yako Msabato kitaja...Amesema Ni ruksa kutumia Picha na Sanamu kwa kufundishia....Nimemuambia anipe andiko linalosema picha zitumike ila kwa kufundishiaYesu alisema; mmepewa bure toeni bure, sasa why mnauza hati ya msamaha! Why mnauza vitambaa vya upako?
Yesu alisema; mmepewa bure toeni bure, sasa why mnauza hati ya msamaha! Why mnauza vitambaa vya upako?