Mkuu ww n kimeo.. Mwalim wako alikua ana kaz sanaKathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo
Ok! Tumekuelewa..Kathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo
Kathoric mmeshindwa kusibitisha kimaandiko.wapi mama mtukufu mariamu kapewa mamlaka ya kibiblia kuwaombea watu na ilihali yeye ni mufu..hakuna andiko lolote kwenye biblia linalotowa luhusa ya wafu kuwaombea walio hai..huu ndio ukweli unaotakiwa watu kuelezwa na kusikilizwa..eeehee ndiyo
Ina ninyi mkiona picha yeyote tu mnajua ni sanamu? Tatizo lenu ibada ya sanamu imewajaa kichwaniNipe tofauti kati ya Sanamu na picha...?
Maana mpaka utengeneze sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotengeneza..
Hapo kwenye Red! Hebu tueleweshane....Maana kuna makatazo mawili kwa mujibu wa kikundi cha kisabato
1. Usitengeneze/usijifanyie(picha)
2. Usiviabudu
Hebu nieleweshe...Hiyo amri ni wapi imesema ujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia.....
Tuijadili huo mstari wa kutoka 20 kinaga ubaga..
NB🙁Kibao kimegeuka, Mkatoliki kawa Msabato na Msabato kawa Mkatoliki)
Nipe andiko linalisema tutumie picha kwa ajili ya kufundishia....Tusipotezeane mudaIna ninyi mkiona picha yeyote tu mnajua ni sanamu? Tatizo lenu ibada ya sanamu imewajaa kichwani
Inasikitisha sana....Kaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?
Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa
Clear Word Exposed
Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,
Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,
Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,
Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato
Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
Nimekuachia jamaa anyeitwa fst, jibu hoja zake kwanza kisha ndo uje,nimegundua darasa ninalokupa ni oversize kwako na kwa wenzioNipe andiko linalisema tutumie picha kwa ajili ya kufundishia....Tusipotezeane muda
Kitaja bana!Ina ninyi mkiona picha yeyote tu mnajua ni sanamu? Tatizo lenu ibada ya sanamu imewajaa kichwani
Mbona unakwepa kunipa andiko ndugu..Nimekuachia jamaa anyeitwa fst, jibu hoja zake kwanza kisha ndo uje,nimegundua darasa ninalokupa ni oversize kwako na kwa wenzio
hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
Hayo mengine uko sawa, ila hapo kwenye bold nadhani umechanganya madesa. sijui ni wasabato gani unaowazungumzia, kama ulimaanisha Waadvenstista wasabato au Seventh Day Adventist Church, basi fuatilia vizuri chanzo chako cha taarifa hiyo. Wasabato kamwe hawana shirika na wakatoliki, yaani ni kama nuru na giza. ila unafaa kuwa mwalimu wa akina Otorong'ong'o ,Kituko na wenzao.Swala la mamlaka.... dhehebu la kathorici haliwezi kukwepa utabili wakitabu cha ufunuo kwasababu viashilia vingi vilivyiomo ndani ya kitabu cha ufunuo tunauona ndani yakanisa hili .. Kuwauwa mitume wa yesu pia na wakiristo wa mwanzo wa kipindi hicho kuukandamiza ukiristo pia hayo yote yitekelezwa naHawa Rc ..hawa Rc wasasa kwakipindi hicho walifahamika kama dora la kiroma ..tunamengi ya kusema kuusu kathoric pamoja na hawa jamaa wanao jiita wasabato hawa watu walishilikiana kuakikisha ukiristo unapotea kabisa.. Lkn Mungu muacheni aitwe Mungu
Huyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali sana kwa ujuzi wa maandiko. Angalau fst anagusa fact zilizoko kwenye Biblia. Ila wewe na wakatoliki wenzio mmekalia propaganda tupu hakuna hata ushahidi wa Biblia katika mada zenu, kwa nini fst asionekane ni mjuzi kuliko ninyi nyote? Nawapa shauri mkajifunze kwake.Mbona unakwepa kunipa andiko ndugu..
Huyo fst ni kichaa
Msome hapa ndugu yako, soon anakugeuka
Hahahahahaha!!!Hayo mengine uko sawa, ila hapo kwenye bold nadhani umechanganya madesa. sijui ni wasabato gani unaowazungumzia, kama ulimaanisha Waadvenstista wasabato au Seventh Day Adventist Church, basi fuatilia vizuri chanzo chako cha taarifa hiyo. Wasabato kamwe hawana shirika na wakatoliki, yaani ni kama nuru na giza. ila unafaa kuwa mwalimu wa akina Otorong'ong'o ,Kituko na wenzao.
Jibu swali nililokuuliza....Huyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali sana kwa ujuzi wa maandiko. Angalau fst anagusa fact zilizoko kwenye Biblia. Ila wewe na wakatoliki wenzio mmekalia propaganda tupu hakuna hata ushahidi wa Biblia katika mada zenu, kwa nini fst asionekane ni mjuzi kuliko ninyi nyote? Nawapa shauri mkajifunze kwake.
Sina muda wa kujibu propaganda zenu. Nilishasema kazi mnayofanya ni ya mwovu na kamwe hamtafanikiwaJibu swali nililokuuliza....
Nipe andiko linalosema tutumie picha kwa ajili ya kufundishia...
Mbona unakwepa hapa..
Achana na fst...tupo mimi na wewe...
Kule kwa kituko bado hujamjibu kuhusu Clear Wird Bible....... umeona Biblia yenu....??? Badala ya kubwabwaja hapa ungefanya uchunguzi wako...wewe ni mbumbumbu na kanisa lako...yani hujui kinachoendelea huko kwenye kikundi chenu cha kiharakati...
Nipe andiko ndugu...mbona unakimbia aisee....Achana na fst....Mbinu yako ya kukwepa swali langu nimeshaigundua...hahahahaHuyo wala hanipi shida, ila nikiwaweka kwenye mizani wewe na huyo fst anakuacha kwa mbali
Propaganda gani...???Sina muda wa kujibu propaganda zenu. Nilishasema kazi mnayofanya ni ya mwovu na kamwe hamtafanikiwa
Nionyeshe hata andiko moja tu kutoka katika Biblia ulilowahi kutumia tangu mjadala huu uanzishwe hapa. Kama ni mafungu ya ibada ya sanamu yapo tele katika kutoka 20: 4-5. "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.Nipe andiko ndugu...mbona unakimbia aisee....Achana na fst....Mbinu yako ya kukwepa swali langu nimeshaigundua...hahahaha
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.